Ushabiki bungeni

clemence

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
594
212
Jamani hivi pale bungeni wabunge wetu watu wapo kama vile mashabiki wa simba na yanga au?mi siwaelewi pale hata inapotolewa hoja ya kweli na mbunge pinzani kinachofuata ni ubishi wa kishabiki na si hoja,mfano jana wabunge wa CCM kutaka Wenje atolewe pasi kuangalia hoja aliyotoa.Jamani hata mashabiki wa mpira huwa tunakubari kuwa tumeshindwa kwa uwezo.Wabunge wetu badilikeni teteeni wananchi na vyama,tuliwachagua nyie kama nyie hatukuchagua vyama,mkijisahau tu 2015 si mbali.
 
Back
Top Bottom