Alafu kweli hivi Nokia83 kapotelea wapi?
Kuna comment yake alishawahi sema atapumzika kuanzia mwez wa 4...atarudi mwakani
[emoji848][emoji848][emoji848]Kuna comment yake alishawahi sema atapumzika kuanzia mwez wa 4...atarudi mwakani
Akikuelewesha mkuu naomba unitag na mimi nielewe
Hivi ndivyo Vivulana Anavyovizungumzia *Nakwede*
yeye na class mate wake walshiriki mgomo wa kula ugali shuleniAliye muelewe mtoa mada anieleweshe please
Fuatilia uandishi wake utapata ideaRealy!!!!!
yeye na class mate wake walshiriki mgomo wa kula ugali shuleni
Term iliyopita
Mhhh!! Sio mambo ya multiple id kweli?
Inawezekana.Fuatilia uandishi wake utapata idea
Ndiyo ivyo mdauInawezekana.
Swalehe ni smart sana mkuuHuyu itakuwa ni rafiki yake swalehe
Nikajua uzee unanisumbua kumbe hadi wewe mjukuu umetoka kapaAliye muelewe mtoa mada anieleweshe please
Haufanani hata kidogoFuatilia uandishi wake utapata idea
Basi itakuwa nimeenda kombo katika kukisiaHaufanani hata kidogo
Haya.
Kwa kweliBasi itakuwa nimeenda kombo katika kukisia
Sawa sawa mkoreaKwa kweli