Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,044
Min una maparody mangapi ukitoa la Red me? 😹Mweleze😃
Min una maparody mangapi ukitoa la Red me? 😹Mweleze😃
Lamo siwezi kuwa na parody la huyo kiaziMin una maparody mangapi ukitoa la Red me? 😹
Yule roho mtakatifu alinishukia.Umejuaje bwashee?
Hahaha sawa sawa mekuYule roho mtakatifu alinishukia.
Pamoja bwashee.Hahaha sawa sawa meku
Nikaange basi niiveLamo siwezi kuwa na parody la huyo kiazi
Hamuwaz yeyote ni wewe na maisha yako.mimi sipend kuumiza kichwa nikiwaza mapenzi.nawaza jinsi nitakavyo mwagilia moyo.usela tuh nakataa ndoa kabisa.