Kutaa ndoaHamuwaz yeyote ni wewe na maisha yako.mimi sipend kuumiza kichwa nikiwaza mapenzi.nawaza jinsi nitakavyo mwagilia moyo.usela tuh nakataa ndoa kabisa.
Shikamoo mkuuKutaa ndoa
Kubali kuolewa.
AuntieShikamoo mkuu
Nakusabahi auntieAuntie
Unataka kuninyima nini?
Nakusabahi auntie
Sijakuona siku mbili tatu
Aiseee ningepata access ningekuja pia hongera kwa ulinzi aiseenilikuwa busy kulinda magari ya watu waliokuja Dodoma kwenye NBC Marathon.
Nyoka yupi tenaAiseee ningepata access ningekuja pia hongera kwa ulinzi aisee
Vp yule nyoka mweusi ulimpata?
Umesahau ulisema una tafuta nyama ya nyoka ule ?Nyoka yupi tena
Nimeshasahau.
Nikisikia neno nyoka nawaza ni hawa special agents
Kwa kweli nilishasahau.Umesahau ulisema una tafuta nyama ya nyoka ule ?
Hayo mengine sijui kwakweli
Kwa kweli nilishasahau.
Nina changamoto.
95% ya mambo ninayoyasoma au kuandika humu ndani huwa nayaacha humu humu.
Ohooo okayKwa kweli nilishasahau.
Nina changamoto.
95% ya mambo ninayoyasoma au kuandika humu ndani huwa nayaacha humu humu.
Eti auntieOhooo okay
Yes ni kawaida sasa uyabebe ya nini kama hunufaiki nayo?Eti auntie
Is dat normal?
Miandiko inabeba personalities za watu.Yes ni kawaida sasa uyabebe ya nini kama hunufaiki nayo?
Ila mimi siyabebi yenyewe yananifata mfano nilipoona I'd yako kuna kitu nilihisi nadhani nilikuambia kwenye uzi fulani nilijisemea mbona huyu kama ni fulani na hapo hata sikua nimechunguza 😅😅😅
Acha umalayer auntie 😮Miandiko inabeba personalities za watu.
Umenikumbusha enzi za ujana niliwahi kuwa na Id kama nne.
Nikichoka hii, nachukua hii.
Kuna id ilikuwa maalumu kwa ajili ya kutafutia wachumba, siku moja nikajikuta nimeingia kwenye moyo wa toto la kichagga, sijui bado yupo humu au alishasepa zake.
Siku nyingine nikajikuta nimeingia kwa mshangazi mmoja halafu mshangazi alikuwa na kabinti kazuriiii baadaye tukapotezana.
Kwa sasa nimekuwa auntie.Acha umalayer auntie 😮