Used washing machines dealers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Used washing machines dealers

Discussion in 'Matangazo madogo' started by nacyma, Oct 25, 2011.

 1. n

  nacyma Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Wanajamii naomba msaada wa wapi naweza kununua washing machine used hapa Dar .Tafadhali nisaidieni ni urgent.Natanguliza shukrani.
   
 2. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nenda kwenye maduka ya fridge used, yapo mengi sana mjini hapa. Kuna moja la mtu ninayemfahamu lipo kariakoo opposite na bwm high school. Kajaribu pale.

  Nb: ila usije jaribu nunua used washe. Utasumbuka sana, mpaka mtu kaitoa nyumbani kwake manaake haikuwa inaperform kama inavyostahili. Hizi vitu zina drums ambazo huwezi pata kokote kama replacement. Jipinde nunua mpya yenye 1yr waranty na 5yr parts waranty utafurahia. Mi ninayo yangu nilinunua miaka mitano iliyopita na hadi leo inafanya kazi sawa na haina shaka hata moja. Halaf bongo mafundi wa washers utawapata wapi ikishaanza kukusumbua? Na vifaa je?
   
Loading...