Quality_First
Member
- Jun 12, 2021
- 32
- 15
Used Simtanks mbili za Lita 5000 Kila mmoja yanauzwa Magomeni Mikumi. Kila mmoja linauzwa kwa 250,000. Kwa mawasiliano Zaidi piga namba 0687320462 au 0693890769.
Sawa Mkuu wajingawatu . Karibu tuwasiliane kupitia namba 0687320462.Nataka hii nyeusi ya pili, nipo mrogoro
Nimetumia neno Simtank kwa vile ndio jina lilozoeleka kwa Matenki ya Maji. Brand ya hilo Jeusi ni Kiboko.Mbona hili jeusi sio Simta
Mbona hili jeusi sio Simtank?
Kanunue tu hayo umeambiwa ni used...si unaona inlet hapoYaan asubuhi hii ndio nataka niende dukani nikanunue la 4000ltrs
Kanunue tu hayo umeambiwa ni used...si unaona inlet hapo
Ok inlet ndio ya juu sioHiyo ni outlet inayoonekana hapo
Ok inlet ndio ya juu sio
Nimenunua tayari la 4000ltrs kwa 650kKanunue tu hayo umeambiwa ni used...si unaona inlet hapo