mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,309
- 942
Wadau habari nahitaji kununua flash, kuna flash nimeiona madukani ina material ya chuma inaitwa TJ ambao mmewai kuzitumia zipoje kwenye ubora.
Bei nimeambiwa elfu 25 ukubwa GB 32
Bei nimeambiwa elfu 25 ukubwa GB 32