habari ya hali zenu wadau wa jukwaa hili jf,wandugu mja wenu nahitaji usb cable ya nokia 2330c2 au any utility ambayo naweza tumia kuflash hiyo phone tajwa(nokia 2330c2), kwa sasa nipo mjini lindi,natanguliza shukrani zangu kwenu.
Cable unawezapata ila hiyo software ya kuflash simu yako sio laisi kihivyo. Unahitaji ujue kwanini kila mtu hawezi kumiliki software ya kuflash simu yake!
Cable unawezapata ila hiyo software ya kuflash simu yako sio laisi kihivyo. Unahitaji ujue kwanini kila mtu hawezi kumiliki software ya kuflash simu yake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.