samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Acha ateue bwana kwani kuteua wakuu wa wilaya si ni jukumu la rais! Wewe una uhakika kwamba huyo kijana ana uswahiba na JK au Ridhiwani au unaropoka tu!
Yaani humu tukifikia kuona uteuzi ni ulazji, basi ujue direction tunayoenda sio yenyewe, Ukuu wa wilaya ni cheo cha kisiasa, inahitaji mtu ambaye awali alishafanya kazi ya kusimamia sera ya chama kilichomuweka, kama he's out from the blue watu bado wana haki ya kuhoji.Humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga na hawatapata maendeleo kamwe iwapo wataendekeza majungu na mapipa!Mwezio kapata ulaji mpe hongera wewe unaanza eti mdogo,eti kasoma nje duh,WATU WABAYA SANA.JE UNGENIFAHAMI MIMI NI NANI NADHANI UNGEHAMA HAPA JF!
ACHA WIVU FANYA KAZI UOKOE FAMILIA YAKO
Mh jamani waache wapeane nafasi hizo waweze lindana ati mwisho wa siku...
Kwa hiyo hapo kwenye kuteua JK amevunja katiba ya nchi? Au kuna vigezo gani ambavyo vinahitajika mtu kupewa ukuu wa wilaya??????
mimama iliyojichubua?????sijawahi ona mkuu wa wilaya aina hiyo!
Kwani hao wazee walipatia wapi uzoefu...
Uongozi ni kipaji kama jamaa ana kipaji then that is fine..
Siku hizi kuna matawi ya CCM mengi tu nje ya nchi mfano UK, USA, India, na Russia. Sasa huenda huyo kijana ni kada wa siku nyingi wa CCM, haijalishi kama amekuwa nje ya nchi kwa muda gani, alichoangalia yeye nadhani ni mchango wake kwa CCM kama Kada. Na hasa ukizingatia nafasi ya mkuu wa wilaya ni ya kisiasa zaidi kuliko kiserikali.Yaani humu tukifikia kuona uteuzi ni ulazji, basi ujue direction tunayoenda sio yenyewe, Ukuu wa wilaya ni cheo cha kisiasa, inahitaji mtu ambaye awali alishafanya kazi ya kusimamia sera ya chama kilichomuweka, kama he's out from the blue watu bado wana haki ya kuhoji.
Wewe ndio unaropoka!Rais kama Rais hawezi kuteua mtu ambaye hamfahamu!Unafikiri kafanya sandakalawe.........Hata kama sio swahiba wake kuna mtu kampigia pande!Si unaelewa msemo wa wakoloni wako "Huna haki ya kuongea bila kufanya utafiti".Kwa sababu mi sijafanya utafiti wa DC wakoloni wako wanesema 'No comments'Acha ateue bwana kwani kuteua wakuu wa wilaya si ni jukumu la rais! Wewe una uhakika kwamba huyo kijana ana uswahiba na JK au Ridhiwani au unaropoka tu!
Mada nyengine bwana! Umri mdogo, kusoma nje na uswahiba hausiani hata kidogo na utendaji. Muhimu awe mtendaji, na ikiwa hivyo hata hilo la uswahiba linakuwa sio noma. Umri wake mdogo na kusoma nje vinaweza kumfanya awe mbunifu na kuwa chachu ya utendaji wake na maendeleo kwa jumla, has tukitilia maanani kuwa wengi walio chama tawala waliolelewa hapa ndani wana mawazo mgando.
Wewe ndio unaropoka!Rais kama Rais hawezi kuteua mtu ambaye hamfahamu!Unafikiri kafanya sandakalawe.........Hata kama sio swahiba wake kuna mtu kampigia pande!Si unaelewa msemo wa wakoloni wako "Huna haki ya kuongea bila kufanya utafiti".Kwa sababu mi sijafanya utafiti wa DC wakoloni wako wanesema 'No comments'Acha ateue bwana kwani kuteua wakuu wa wilaya si ni jukumu la rais! Wewe una uhakika kwamba huyo kijana ana uswahiba na JK au Ridhiwani au unaropoka tu!
Kweli ukipenda boga unapenda na ua lake!Kwa hiyo hapo kwenye kuteua JK amevunja katiba ya nchi? Au kuna vigezo gani ambavyo vinahitajika mtu kupewa ukuu wa wilaya??????