Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Hao uliowataja ndugu yangu wamegombea na wananchi wenyewe wamewachagua tofauti na mtu wa kuteuliwa kiuswahiba na JK hoja yako haiingi kwenye hii tuhumaKwani kuna tatizo gani mbona Mbunge wa Mbozi Mashariki bwana D.Shilinde naye amemaliza chuo mwaka huu, dogo yule Kigoma (Mkosamali) ndiyo kwanza anaingia final yr?
Hao uliowataja ndugu yangu wamegombea na wananchi wenyewe wamewachagua tofauti na mtu wa kuteuliwa kiuswahiba na JK hoja yako haiingi kwenye hii tuhuma
hao uliowataja ndugu yangu wamegombea na wananchi wenyewe wamewachagua tofauti na mtu wa kuteuliwa kiuswahiba na jk hoja yako haiingi kwenye hii tuhuma
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

Kwa Mkuu wa Wilaya ana kazi gani maana zaidi ya kuwapokea Salama Kikweta, Riziwani, Makamba, Miraji, Khalfan na Januari! Nilisahau na kusindikiza MWENGEKuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
Humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga na hawatapata maendeleo kamwe iwapo wataendekeza majungu na mapipa!Mwezio kapata ulaji mpe hongera wewe unaanza eti mdogo,eti kasoma nje duh,WATU WABAYA SANA.JE UNGENIFAHAMI MIMI NI NANI NADHANI UNGEHAMA HAPA JF!
ACHA WIVU FANYA KAZI UOKOE FAMILIA YAKO
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
afadhali achague hao kuliko ile mimama inayojichubua imetapakaa mawilayani ikitinda nyusi tu... hata wewe ukiwa kwenye limelight waweza hojiwa hadi mkao wako ch00ni
Tumpe rais nafasi afanye kazi
Hapo umenena mkuuu watu humu wanakurupuka sanaKwa Mkuu wa Wilaya ana kazi gani maana zaidi ya kuwapokea Salama Kikweta, Riziwani, Makamba, Miraji, Khalfan na Januari! Nilisahau na kusindikiza MWENGE
hivi sasa hakuna waziri kiongozi zanzibarhata nyerere alimteua salim ahmed salim kuwa balozi akiwa na miaka 18 tuu! Huna hoja1 kwanza mtu mwenyewe na cv yake huijui kwanini umuhukumu kuwa hana uwezo? Mtachanganyikiwa sana mwaka huu!