Elections 2010 Usanii wa JK - amteua kijana aliemaliza chuo kuwa DC

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
 
Kwani kuna tatizo gani mbona Mbunge wa Mbozi Mashariki bwana D.Shilinde naye amemaliza chuo mwaka huu, dogo yule Kigoma (Mkosamali) ndiyo kwanza anaingia final yr?
 
Hao uliowataja ndugu yangu wamegombea na wananchi wenyewe wamewachagua tofauti na mtu wa kuteuliwa kiuswahiba na JK hoja yako haiingi kwenye hii tuhuma
 
Kwa hiyo hapo kwenye kuteua JK amevunja katiba ya nchi? Au kuna vigezo gani ambavyo vinahitajika mtu kupewa ukuu wa wilaya??????
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

hata Nyerere alimteua salim Ahmed Salim Kuwa Balozi akiwa na miaka 18 tuu! huna hoja1 kwanza mtu mwenyewe na Cv yake huijui kwanini umuhukumu kuwa hana uwezo? mtachanganyikiwa sana mwaka huu!
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

kijana mmoja, wilaya moja, miaaka kati ya 30-32! kwa hiyo hicho chanzo chako cha uhahikia ndio kimekupa taarifa isiyo na uhakika si ndio? nimekuelewa1
 
afadhali achague hao kuliko ile mimama inayojichubua imetapakaa mawilayani ikitinda nyusi tu... hata wewe ukiwa kwenye limelight waweza hojiwa hadi mkao wako ch00ni

Tumpe rais nafasi afanye kazi
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
Kwa Mkuu wa Wilaya ana kazi gani maana zaidi ya kuwapokea Salama Kikweta, Riziwani, Makamba, Miraji, Khalfan na Januari! Nilisahau na kusindikiza MWENGE
 
Humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga na hawatapata maendeleo kamwe iwapo wataendekeza majungu na mapipa!Mwezio kapata ulaji mpe hongera wewe unaanza eti mdogo,eti kasoma nje duh,WATU WABAYA SANA.JE UNGENIFAHAMI MIMI NI NANI NADHANI UNGEHAMA HAPA JF!
ACHA WIVU FANYA KAZI UOKOE FAMILIA YAKO
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

Atakuwa chaguo la Riziwan, tuliambiwa kuna vijana waliotembeza form za JK wataula, bado wako kama 30 hiviiiii
 
Humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga na hawatapata maendeleo kamwe iwapo wataendekeza majungu na mapipa!Mwezio kapata ulaji mpe hongera wewe unaanza eti mdogo,eti kasoma nje duh,WATU WABAYA SANA.JE UNGENIFAHAMI MIMI NI NANI NADHANI UNGEHAMA HAPA JF!
ACHA WIVU FANYA KAZI UOKOE FAMILIA YAKO

Hakuna mwenye wivu hapo, tatizo ni taratibu za uteuziiiii
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

Majungu, roho mbaya na chuki..ulictaka uchaguliwe wewe?
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

acha wivu wa kike wewe ulitaka ateuliwe babu yako kijijini ndio uone amemteua mwenye umri sahihi?
 
Kama uzee ndiyo tija mbona wilaya nyingi na mikoa mingi kumekuwa na wakuu wa umri mkubwa - lakini bado kuna umaskini wa kutupwa?
 
afadhali achague hao kuliko ile mimama inayojichubua imetapakaa mawilayani ikitinda nyusi tu... hata wewe ukiwa kwenye limelight waweza hojiwa hadi mkao wako ch00ni

Tumpe rais nafasi afanye kazi

mimama iliyojichubua?????sijawahi ona mkuu wa wilaya aina hiyo!
 
Mimi sioni tatizo kuteuliwa kijana mdogo, hata kama kasoma nje... La msingi hapa ni kazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hata nyerere alimteua salim ahmed salim kuwa balozi akiwa na miaka 18 tuu! Huna hoja1 kwanza mtu mwenyewe na cv yake huijui kwanini umuhukumu kuwa hana uwezo? Mtachanganyikiwa sana mwaka huu!
hivi sasa hakuna waziri kiongozi zanzibar
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom