Usanii wa Babu na Dawa Yake.................

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Ati ukikuta wenzio wako foleni ukajifanya mbinafsi na kuwavuka, hata ukilamba kile ki-cup hauponi ng'oo!!

ahh Babuuuuuuuuuuuu!!

kweli wajinga ndio waliwao.
 
Hii ni dawa iliyo-base kwenye IMANI kaka!
Ukiwapita waliokutangulia, tafsiri yake ni kwamba unajipenda wewe kuliko wengine, unawadharau...kwamba wewe ni m'bora kuliko wao!
Je ni Mungu yupi atakayemponya mtu wa hivyo?..Mimi na ona hii inawezekana kabisa!
Ni sawa kama Rostam Aziz na jamaa zake wangeponywa na dawa hii...Ningeshangaa sana!
 
Ni kweli kabisa mkuu.

Ningeshauri pia wale wasioona au kuamini yale babu ametumwa kufanya, ni kheri wakae kimya! Siku za dunia zinahesabika, pamoja na kuwa safari bado ndefu; hujafa hujaumbika! Kesho ukijikuta hoi,hosp unazotegemea zimekushindwa..utamkimbilia babu kwa maneno yako hayo utegemee upone??
Mdomo na viherehere sio vya msingi maishani.
 
Endeleeni kupiga kikombe wadau ingawa mtazongwa zongwa na inzi wabishi kama hawa msiache kunywa endeleeni tuu kwani inzi ni kawaida yao kutaka kuspoil utamu wa mlooo!!!
 
Namshangaa sana Ngwanangwa!...actually nimekuwa namwamini sana kwa mambo mengine yote, kasoro hapa!
Hata kwa logic ya kawaida unaona utaratibu huu ni fair?
Sikutegemea kuwa reasoning simple kama hii ingemfanya mtu wa hadhi ya Ngwanangwa kupandisha thread!
Anyway...ni wengi walioharibiwa maslahi yao na ujio wa babu!...acha nisiongee sana!
 
Ni kweli kabisa mkuu.

Ningeshauri pia wale wasioona au kuamini yale babu ametumwa kufanya, ni kheri wakae kimya! Siku za dunia zinahesabika, pamoja na kuwa safari bado ndefu; hujafa hujaumbika! Kesho ukijikuta hoi,hosp unazotegemea zimekushindwa..utamkimbilia babu kwa maneno yako hayo utegemee upone??
Mdomo na viherehere sio vya msingi maishani.

Na hakuna haja ya kuanzisha thread kama hii kwanza ZIMETUCHOSHA MITHREAD KAMA HII
Kila mtu imekuwa issue Babu babu TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAA KHA!!
 
Namshangaa sana Ngwanangwa!...actually nimekuwa namwamini sana kwa mambo mengine yote, kasoro hapa!
Hata kwa logic ya kawaida unaona utaratibu huu ni fair?
Sikutegemea kuwa reasoning simple kama hii ingemfanya mtu wa hadhi ya Ngwanangwa kupandisha thread!
Anyway...ni wengi walioharibiwa maslahi yao na ujio wa babu!...acha nisiongee sana!

Hata mie nimeshangaa na sijaamini mpaka sasa kama Ng'wanangwa anaweza kurusha thread kama hiii kha????
 
Ee bwana wee!!! We huamini bora tu ukajinyamazia. Kuna wakati utafika kitaeleweka tu. Maanake unaweza ukabisha, ukapinga halafu ukajikuta unabaki nje ya Safina kama wakati wa NUHU, ukakumbwa na gharika!!!
 
Back
Top Bottom