Joseph johnson
New Member
- Jun 26, 2014
- 1
- 0
Jaman kinadada mnazamb jamaa fundi garage kawa na mpenzi wake kwa miaka 7 na tna kamsomesha lakini mwaka wa mwisho mdada kaolewa na mtu mwingine na kumsaliti wa miaka7 kwel hki hii nyie ma dada ztu muwe mnaangalia na mlipo toka sio mlipo sasa