Usaliti unauma

Mwanamke hasomeswi mkuu! Msaidie mwanamke mkiwa mmezaa atleast hata watoto watafaidi na si vinginevyo uliyoyofanya is like betting! Pole sana
 
Inauma sana kwa kusikia mwanaume ameumizwa na mwanamke halafu alikuwa amewekeza kwake na kumsaidia kila kitu kama ndugu au mzazi wake.Hapo nahisi kwa hizo gharama ulizotoa,ungeshamiliki hata gari aina ya passo au kusimamisha jengo angalau leve l ya madirisha.Kamwe,usiwekeze au kusomesha mchumba au mpenzi,utakuja kujuta!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisikitike kumkosa bali umia kwa kuharibu kipato chako kwa ajili yake.

Only God knows kakuepusha na nini.
Shukuru kwa yote japo inauma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapo kwenye jeshi upo sahihi Sana mzee. The mentality is quite different.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia ilinitokea wakati nasoma kidato Cha sita nikampenda dada mmoja jirani yangu cotaz nikamsaidia Sana kaka yake Alipata matatizo akafukuzwa Kazi nikawa nampa hela mimi nikimaliza Nikaenda chuo nikapata Kazi hapo mambo kwake yalikuwa magumu coz alikuwa Na Mamaake tu na kakaake aliyefukuzwa Kazi serikalini nikampatia Pesa nikanunua Simu Enzi hizo 2010 nikamsaidia facilitation akaenda chuo dar Mimi nikawa mkoani tuakenda kila mara natuma Pesa na zawadi Baadae akazingua Sina hamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jifunze kumuacha aende kijana..unapombembeleza mtu asiye kupenda ni sawa na kumfunza nguruwe usafi na uzuri wakati mwenyewe hataki.....kumshawishi mtu akupende ni sawa na kumshawishi nyani kuwa asali ni tamu kuliko ndizi..... MAPENZI HAYATAKI HARAKA NI KAMA TANGO UNAWEKA CHUMVI.........JIFUNZE KUMUACHA AENDE , ULIMWENGU HAUISHI KAMA ATAAMUA KUKUACHA WEWE. KAMA IPO IPO TU
 
DEFENSIVE MECHANISM BECAUSE ULIUMIA LAKINI IMEKUSAIDIA KUMUUMIZA NA YEYE ANGALAU KIDUCHU. AAAAAH! AAAAH! ACHENI WANAWAKE WAITWE HIVYO TU WANAWAKE
 
Wala ucjal Piga moyo konde Tafuta chuma kingine oa Mbn wanawake wenye sifa ya kuitwa Mke wapo wengi,kitu kimoja nataka nikuhakikishie uyo binti atarudi kwako ni suala la muda tu lakin usikubali kumpokea....!!!its a matter of tym tu...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…