Usaliti ni mbaya sana

Huyu ndo POOR BRAIN naemfahamu kweli???
 
Majaliwa kugombea tena ubunge ni kujikosea heshima.

Asipopata tena huo uwaziri mkuu, hadi kuwa mgonga meza bungeni ataweka wapi sura yake?
 
Hiyo system itashinda Ile ya padri slaa 2010?...ni upepo TU na utapita

 
Bro unaonaje kesho mwende mkakinukishe huko Ukonga hadi mutoe Lissu? Ahahahahaha!!!
 
H
Huu upumbavu ndio unatufanya tuwadharau sana.

Mnajisababishia majanga wenyewe,halafu mnaanza kutafuta mchawi.

Mbowe si aliruhusu demokrasia mkashinda bado mnamlaumu nini wahuni nyie?
 
Wa tz wa JF mnafurahisha sana. Hapa mnatukanana mitusi mizito zito, next reply mnapeana michongo ya kazi??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Relax mkuu, usiwe serious hvy utaumia kichwa. Mbona mambo sio magumu hvy, tujifunze kutokuvuka mipaka na pia tujitahidi kujua huyo mtu unayetukanana nae n nani.
Humu kuna watu wanaweza kukupa michongo mpaka ukajiuliza kwan huyu hana ndugu wa kuwasaidia mpaka anisaidie mm?
 
Majaliwa kugombea tena ubunge ni kujikosea heshima.

Asipopata tena huo uwaziri mkuu, hadi kuwa mgonga meza bungeni ataweka wapi sura yake?
Ubunge atapata tu kwa Tume hii na uliona 2020 aliyegombea kwa Majaliwa alifunguliwa mikesi kibao mara kupora fomu zake na manyanyaso makali makali , kwa mwaka huu hiyo hakuna
Isipokua atapewa tena heshima ya kuwa mbunge ndo hapo tena Samia ataingia mtegoni kumpa Uwaziri Mkuu.
 
kwa mwaka huu hiyo hakuna
Isipokua atapewa tena heshima ya kuwa mbunge ndo hapo tena Samia ataingia mtegoni kumpa Uwaziri Mkuu.
Hapo ndipo aibu ilipo!

Kutoka uwaziri mkuu hadi kuuliza maswali ya nyongeza bungeni.

Kama wameweza kumuwekea msaidizi unadhani kumnyima huo uPM ni kitu kigumu kwao?
 
Mkuu acha bana ...
Inamaana mimi kusaidia vijana wenzangu imekua matatizo tena
Haina tabu mkuu ni jambo jema na ndo utu haswa ila kama ni la heri na liwe hivyo mkuu.
Ila sikuwa nahakika kama hzo mishe wadeal nazo ndo maana nikawa na shaka.
 
Haina tabu mkuu ni jambo jema na ndo utu haswa ila kama ni la heri na liwe hivyo mkuu.
Ila sikuwa nahakika kama hzo mishe wadeal nazo ndo maana nikawa na shaka.
Acha kuninafikia sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmekwisha mtosa mwenzenu na style ile ya wasyria kuvamia nchi kwa pickup ,hii Tanzania sio mnakuja na mipango mwitu ,hapa ni uchaguzi tu , watu washindane kwenye kuiba kura tu. mambo ya kupinduana hatuyahitaji.
Pangeni mipango ya kuiba kura kama wanavyopanga CCM ,kama wanaweka askari na nyie mnaweka askari na hayo hayo magwanda ya mgambo ,kama ni kutangaza na nyinyi mnaweka vyombo vya kutangaza. Mtanzania hafundishwi wizi ni mtz na hiari yake kuiba au kutulia,
 
Zero brain. Hii nchi siyo mali ya kundi fulani ni mali ya Watanganyika wote hata wasio wafuasi wa vyama vya siasa.
Mnawaza tu madaraka bila kujali haki na uhai kwa wengine. NO REFORMS NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…