technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
ILI UONEKANE MWANA MAGEUZI LAZIMA UYAFANYE KWA KUUNGANA NA LISSU?Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!
Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake
Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?
Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!
Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!
Wasaliti ni watu wabaya Sana
Naipenda nchi yangu Jamhuri ya TanganyikaBinafsi nachukizwa sana kuona tunatawaliwa na raia kutoka nchi jirani.
JPM alikuachia mimba changa au kitoto!!??JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Gentleman,Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!
Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake
Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?
Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!
Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!
Wasaliti ni watu wabaya Sana
Zero brain huna ujualoGentleman,
Ni Freeman Aikaeli Mbowe ndie alie mashauri Lisu aombe kuhamishiwa gereza la ukonga kulingana na hali yake ukilinganisha na mazingira finyu na yaliyobana zaidi ya pale keko.
In fact, Mbowe ndie alie chukua hatua za mwanzo kuomba hivyo,kabla ya lisu kukamilisha utaratibu,
Mbowe anaifahamu sana ukonga,
ina mazingira mazuri zaidi na nafasi kubwa zaidi kwa mtu kama Lisu kukaa, lakini pia ukonga ina nafasi na mazingira mazuri zaidi hata kwa wageni wengi zaidi kuonana na mahabusu wao ukilinganisha na keko
So,
Gentleman,
ni muhimu kujiepusha na upotoshaji wa hila kwa mtu mwema kama Mbowe, itakusaiadia sana 🐒
epuka upotoshaji na mihemko nonsense gentleman, itakusaiadia sana 🐒Zero brain huna ujualo
Mfungwa wa mahabusu ana haki ya kuomba kuhamishwa mahabusu? Utaratibu upoje?. Toa elimu hapa watu waelewe!!! Nitashukuru ukitoka majibu kwa kuambatanisha na vifungu vya sheria zilizopo vifungu vinavyoongoza zoezi hili la kuomba kuhamishwa mahabusu!Gentleman,
Ni Freeman Aikaeli Mbowe ndie alie mashauri Lisu aombe kuhamishiwa gereza la ukonga kulingana na hali yake ukilinganisha na mazingira finyu na yaliyobana zaidi ya pale keko.
Nilipata mashaka sana niliposikia Mbowe kaenda kumtembelea Lisu akiwa na Salim Mwalimu. Hawa hawajajihusisha na shughuli yoyote ya cdm toka uchaguzi umalizike, walipata wapi uajsiri wa kwenda kumtembelea sasa.Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!
Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake
Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?
Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!
Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!
Wasaliti ni watu wabaya Sana
Walishindwa kuelewana juu ya nini? Fafanua zaidi!!!Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake d
Mbowe aliagizwa na Samia kumpa ahadi za kulegeza kamba chadema ipewe majimbo kadhaaNilipata mashaka sana niliposikia Mbowe kaenda kumtembelea Lisu akiwa na Salim Mwalimu. Hawa hawajajihusisha na shughuli yoyote ya cdm toka uchaguzi umalizike, walipata wapi uajsiri wa kwenda kumtembelea sasa.
Nilipoanza kusikia drama za kuhamishwa gereza nikajua ni ujumbe gani walimpelekea, maana siku ile ile nilisikia ujumbe wa Lisu kuwa hataki vikao vya gizani, na yuko tayari kunyongwa hadi kufa.
ndicho kilichofanyika gentleman, na engineer mshauri akiwa mwenyekiti mstaafu wa chadema. Na amefanya hivyo kwa nia njema kabisaa kwamba kwa hali ya muungwana, mazingira mazuri zaidi ni ukonga,Mfungwa wa mahabusu ana haki ya kuomba kuhamishwa mahabusu? Utaratibu upoje?. Toa elimu hapa watu waelewe!!! Nitashukuru ukitoka majibu kwa kuambatanisha na vifungu vya sheria zilizopo vifungu vinavyoongoza zoezi hili la kuomba kuhamishwa mahabusu!
Alikuacha ukiwa lebaJPM alikuachia mimba changa au kitoto!!??
Samia anajua huku Bara hakuna anayeweza kumpa kura yake hata wana CCM wenyewe hawawezi kukabidhi nchi kwa Samia hata siku mojaMbowe aliagizwa na Samia kumpa ahadi za kulegeza kamba chadema ipewe majimbo kadhaa
Halafu reform ziwekwe mfukoni mpaka baada ya uchaguzi
Lissu akagoma watu wema wameshutuka na kupush aamishwe gereza kwa sababu za kiusalama na wanaotakiwa kumuona Sana Sana ni ndugu 3 wa karibu tu wanaompelekea chakula
Inaonekana mbowe alianza michezo michafu na wenzie
Lakini hawajui kwamba wanapambana na system kubwa Sana ambayo imekataa ujinga mwisho mwaka huu!!
Yaani hao wasaliti wa Keko ambapo maisha ya Lissu yalikuwa mashakani hawawezi hata kutembea kwa Miguu kutoka Keko kwenda Ukonga????Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!