Usaliti haujawah kumuacha mtu salama

Usaliti haujawah kumuacha mtu salama

Hawa viumbe sio kabisa.
Tulio waaminifu runapata wanaweke wajinga sana, mm nilimuhack msg zake aisee nilihisi kuzimia, bora angekua wa kupita, ila hatasahau hadi kumtoa alipo akaja, sasa hvi ni wakupita tu anategemea msamaha wake nimeupokea kumbe amekua pambo tu kwa sasa la kunusa na kutupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi nmeamini mapenz yanauma sana kwa mtu uliyempenda alafu akakutenda. Niende moja kwa moja kwenye kisa kilichonikuta.
Nlikututana na dada mmoja nikiwa chuo 2014 nikiwa mwaka wakwanza na tulitokea kupendana kwel mpaka tunamaliza wote chuo 2017. Kipind cha graduate nkamtambulisha kwenye familia yetu na ndo alikuwa mtu wakwanza mm kumtambulisha kwetu kwa sababu nilikuwa na malengo nae. Bas mwaka 2018 yeye akawa anakaa dsm nyumban mm naish arusha nyumban huku nikiwa na mishe zang za hapa na pale za kujipatia kipato(sjaajiriwa) ila yy akapata kibarua mahal bas tukaendelea vizur tu. Ilipofika mwez november 2018 nikaona ni vema na mm nihamie dar na shughul zang nizihamishie dar ili huyu dada nisimuumize na aone kila nachokifanya kama mke. Bas tukatafuta nyumba tukaish pamoja kutokea tar 23 nov na yeye akahama kwao na kuish na mm. Sasa kimembe kikaanza tar 16 dec 2018 ambap tulitoka kwenda beach flan hapa dsm ndo nlipogundua kuna mtu anachat nae nkamuuliza huyu unaechat nae ni nan akaniambia ni mteja wa kazin kwao. Nnkajiridhisha bt nkaanza kumfuatilia taratibu huku namuuliza anakataa. Bas tar 23 dec sku hyo jpil asubuh nikatoka asubuh na yye akatoka mm akaniambia anaenda kwa fund wanguo mwananyamala mara tupo kwenye gar anachat na yule jamaa kisir sir nmekaa kidogo tumeachana mm nkaenda na shughul zang nampigia simu yake haipatikan napiga na nyingine nayo haipatikan nkajua hapa tayar mwanamke ameenda kugawa uroda. Niliumia nkajikaza karud usiku namuuliza ananisanganya kushika simu yake naona kidume kinaandika sms " asante mamy" nlijikuta nagawa kipigo kwa huyu mwanamke ndo akanyoosha maelezo bac asubuh nkaenda na shughul zang jioni mwanamke akaomba msamaha yakaisha nkampigia yule kijana nkamwambia aachane na mwanamke wang akakubal akasema alikuwa hajui bas nikajua yameisha. Mwaka mpya nlisafir kwenda mkoan nkamwacha yy pale nyumban kurud kumbe mambo yanaendelea mm sijui chochote mwanamke ananikumbushia mambo ya 2015 chuon mara nlikuwa simpend simjal amepata mtu wakumjal sikuenda kwao kujitambulisha rasm ndo maana anafanya hiv nkamshaur anakuitikia ameelewa mambo anafanya kisiri siri. Sasa zikaanza akitoka kazin anachelewa kurud mpaka sku 3 usiku ndo apike nkaona hapa nikifikiria sana najiumiza nkaanza kujitoa out mwenyew huku yy namwangalia tu. Bas nkasafir tar 17 kwenda Nairobi. Zikaanza dharau hanitafuti akinitafuta hamna salamu ni maelezo tu nkamwonya anajifanya amechanganyikiwa. Nikarud dar tar 28 nilichelewa sana nkalala kwa rafik yang. Asubuh namwambia nlichelewa skuweza kufika nyumban ananiambia amehama jana yake. Nkaona utani nkachana na ratiba zang nkaenda pale tulipopanga kwel nakuta hamna chochote ila begi tu la nguo. Namuuliza ananiambia kwenye vtu kuna jasho lake na ameamua kuchukua akaviuze vingine ili ajazie apeleke kwao kuna ujenz kisa sjampa fedha ndo maana kaamua hvyo ( baasa ya kugombana kuna fedha alizitaka zilikuwa kwenye acc yang nkamwabia mpaka nirud) ila kabla sjaondoka kwenda nairob kuna siku alikuwa anaongea na simu kutafuta chumba ila skutilia maanan. Sasa kwenye ushaur wenu huyu dada pamoja na yote aliyoyafanya kuna fedha za kwenye acx yang 4mil anazitaka nazo nimpe ambazo aliziiba kweny kampun zikawekwa kweny acc yang ndo najikifiria kwa ukatil alionifanyia nimpe? Maana na yeye kahama na vitu vyote mpaka na vingine vilivyobak nguo sjaziona wala nn. Naomben ushaur wenu japo nmejitahid kufupisha maana matukio ni meng sana nliyofanyiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrudishie hela yake, usilete nuksi kwenye mishe. Achana naye, pambania mishe mzee baba. Utakuja kung'oa chombo kikali hutoamini. Pia vitu kama kaamsha navyo mwachie. Atakuja kukutafuta mwenyewe. Unakaaje na mtu katoka huko kuliwa na mwanaume mwingine?
 
Hela yenyew ya uwiz kwenye kampun x anakofanyia kaz ata nikiila hainiumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshawaza hvyo alaf ukikaa anatangaza ubaya kwa ndugu zang kwamba mm ndo nlimsaliti tukashindwa kufikiana muafaka akaamua tuachane na yeye kaamua kuondoka na vtu kwa sababu mm nlitaka nimfukize asiondoke na chochote na fedha. Cha ajab anamweleza mpaka mama mzaz nimrudishie fedha za kwenye acc au tugawane kisa yy kaondoka na vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna unatia uruma broo kwani mama ako akiambiwa unaogopa nn embu simama kama mwanaume bana kwani iyoo pesa mliandikishana embu ama ata mkoa mpotezee kama hataki kurudisha vitu vyako na usijaribu kurudiana naye maana mbeleni utatoa machozi zaidi ya ayooo

Siwez kurudiana nae na wakwao wamemitishia kuniloga kisa mwanao nkawajibu anayetoa uhai ni mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama una uwezo wa kufanya maisha bila hyo 4m then mrudishie uendlee na maisha yako with new you ukiwa huna chochote kilichobaki kama kumbukumbu ya past relationship.
But kama una uhitaj muite muongee uone thaman ya mali iliyouzwa then udeduct from hyo 4m then inayobaki mrudishie.
 
Kilichofanya nisitaman kumrudishia ni mambo aliyonifanyia dharau alaf anajisahau kwamb kuna msaada wako kwenye maisha yake. Hivi mwanamke anakudanganya anaenda kwao kumbe anaenda kwa mwanaume mwingine ukimkataza anaamua anenda. Anakusema kwa marafik zake kwamba huyu nataka niachane nae ila asiumie huku anakuumiza kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwez kurudiana nae na wakwao wamemitishia kuniloga kisa mwanao nkawajibu anayetoa uhai ni mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana pole sana kwa matatizo inaonekana kwao na uyo binti ni washirikina sana pia inaonekana wanamsapoti hata uo ujinga na upumbavu anaoufanya kikubwa wewe fanya mambo yako achana nae mpotezee mazima na bora urudi zako arusha ukaendelee na mishe zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama una uwezo wa kufanya maisha bila hyo 4m then mrudishie uendlee na maisha yako with new you ukiwa huna chochote kilichobaki kama kumbukumbu ya past relationship.
But kama una uhitaj muite muongee uone thaman ya mali iliyouzwa then udeduct from hyo 4m then inayobaki mrudishie.
Hii hela yake niit...mbee mpaka iishe maana haina maana kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichofanya nisitaman kumrudishia ni mambo aliyonifanyia dharau alaf anajisahau kwamb kuna msaada wako kwenye maisha yake. Hivi mwanamke anakudanganya anaenda kwao kumbe anaenda kwa mwanaume mwingine ukimkataza anaamua anenda. Anakusema kwa marafik zake kwamba huyu nataka niachane nae ila asiumie huku anakuumiza kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu be a Man acha grudge u will live happily ever after trust me hakuna kitu kizur kama kumsamehe mwanamke aliekuacha kwa ubaya, Most of them huwa wanarud kujuta pale ndio unapokuja kujua thaman ya msamaha utakaoutoa leo... But kama moyo wako unakutuma kufanya kisasi cha kumdhulumu hyo hela yake then fine go ahead.
 
SIMTAKI ATA AKIRUDI. Wanawake ni weng sana kwanza huwa najiuliza nlikuwa navumilia vipi vitendo alivyonifanyia yeye akiwa na furaha mm nasononeka moyon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIMTAKI ATA AKIRUDI. Wanawake ni weng sana kwanza huwa najiuliza nlikuwa navumilia vipi vitendo alivyonifanyia yeye akiwa na furaha mm nasononeka moyon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa ambavyo naona hili swala bado linakuuma and u cant let it go... So kwa ushauri tu do whatever ur heart please u.
 
pole Sana Bwana loki, hiyo hela nikushauri umrudishie ili katika utafutaji wako uwe naamani ukikosa unajua kabisa nimipango ya Mungu kuliko kutafuta bila amani ukikosa unaanza kuhisi labda laana ya milioni 4 inakutafuna kumbe sivyo hivyo so mrudishie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulio waaminifu runapata wanaweke wajinga sana, mm nilimuhack msg zake aisee nilihisi kuzimia, bora angekua wa kupita, ila hatasahau hadi kumtoa alipo akaja, sasa hvi ni wakupita tu anategemea msamaha wake nimeupokea kumbe amekua pambo tu kwa sasa la kunusa na kutupa

Safi wee mgegede tuu ndio kilichobakia
 
Back
Top Bottom