Usalama wa taifa

Status
Not open for further replies.
Sifa ya kwanza uwe mwana ccm mtiifu na ukubali kunywa maji ya bendera ya ccm
 

Kuingia usalama wa taifa waweza kumwona yule mke wa kigogo wa polisi, itakuwa rahisi ni laki moja moja tu....! Ukitaka kwa sasa mwandikie Rtz kadi ya kumpongeza kwa ushindi wa kishindo halafu ... chini weka natafuta kazi TISS mbona simpo tu.
 
Maskini eeee Marehem Matonya.
kazi yote ya Usalama wa Taifa ulioifanyia taifa hili umekufa ukiiacha familia maskini.

Ila mie ninaangalizo Jamani,mbona wakati wa Nyerere hawa usalama walikuwa hawajulikani na walikuwa wanafanyakazi kwa weledi na umakini wa hali ya juu sana.Yaani ulikuwa ukifanya soo basi hata kama upo Mtwara basi utanaswa,ilikuwa noma sana hawa jamaa,na wakati huo hata sim za mkononi hakuna.

Lakini sasa Usalama karibu wote wanajulikana,unakuta mtu akija kijiweni basi watu wanabadilisha Story ili jamaa asipate la kuzua.
Halafu hizi issue za kukaa Mabaa,sijui ndio style gani,maana kuna Bar maalum unajua pale wapo.Halafu kwa madem sasa,hapa ndio usiseme.
Halafu baadhi yao ukiwazingua utawasikia nitakuweka ndani mara katoa Silaha
Na ndio maana ukimkuta Usalama mlokole basi ujue kazi ipo kweli.

Jamani msinitafute ni mtizamo wangu tu.

Maana humuhumu mmo
 
Anayewalaumu hawa watu hajui tu
Sheria inayowaongoza hawana wajibu wakuzuia, wala kuadhibu. Watuhumiwa. Movie za CIA na FBI sijui M16 zinatuponza hawa kazi yao ni kukusanya taarifa na kushauri atua stahiki zinazopaswa kuchukuliwa.na vyombo husika
Afu zama hizi hawa watu wanafahamika sababu namna ya utendaji wao na ajira na hata mabadiliko ya dunia hamna umuhimu wa kutowajua. Hata hao wakuu wao ilifaa wawe wanakuja na majibu kabisa. Wao wanafahamika tu ila shughuli njia na namna ya utendaji wao kazi wengi hatujui. Na hapo ndo siri ya kumshinda adui. Hapa watu wanalalamika sikuhizi wanatamba ni kweli wanatamba ila huyo anayetamba unajua namna anavyofanya shughuli zakeee.
Ila tu tujie ndani ya vitengo hivi wapo visible na invisible utake usitake lazima hilo kundi limo tu. Hao hawafahamiki tena wengine hata sura zao ni nadra kuziona mtaani
 

Nina imani huyo rafiki wa mama yako ni mwanammke. je anafanya wapi
 
Nenda makumbusho kunakambiyao hapo andika barua ipeleke pale getini usisahau kuweka namba zako simu na kutaja unapoishi utaitwa kwny interview
 
Kama wewe ni mtz mwenye tabia njema na afya bora pamoja na elimu kuanzia kidato cha nne mpaka phd unazo sifa za kuwa moja ya walinzi wetu. Je unao moyo wa uvumilivu na ujasiri wa kijeshi? Kama unazo sifa hizo nenda ofisi zao ambazo zipo kwa kila mkuu wa wilaya upewe maelekezo na taratibu zote.
 
Jamani nataka kujua ni vigezo gani mtu natakiwa niwe navyo ili niweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa...na process zake zikoje

kwa nini unataka kazi hiyo? ukiambiwa maslahi pale ni duni utaenda? ukiambiwa intership yako ni pale ubungo mataa traffick miaka miwili utakubali?please jibu kilicho moyoni mwako dont pretend
 




Pia kubadilika kwa mawasiliano ulimwenguni, yaani kuwepo kwa simu za mkononi na internet, kumebadilisha ghafula mfumo wa mawasiliano na hivyo hata wakijifichja namna gani sasa hivi lazimna watajulikana tu.
Kipindi cha Mwalimu mawasilano hayakuwa kama yalivyo sasa, almsot everything haas changed sababu ya mawasiliano na si sababu ya kuongezeka au kupungua kwa discipline kwenye mifumo ya kazi za watu!
 
Bila kua na refa katu huwezi ingia humo,zamani enzi za jk ulikua unatafutwa kwa sifa na vigezo vya uadilifu kuanzia kwenye familia yako,lakini siku hizi kama huna unayemjua ndani ya serikali katu usijisumbua.

Na ndipo hapo unapojidanganya, acha FIKS wangu.

Natamani kukwambia ila siwezi.
**acha kupiga mayowe**
 

akufate nani wewe ...huna lolote ulijualo...
 

Major mwenda
WELL SAID......!!
ur super!!!
 
Last edited by a moderator:
Osha jina kwanza kwa kujiunga uvccm
 
Mimi nipo tayari hata kwa kujitolea bure,niungane na wanausalama wengine kulinda nchi yetu nzuri tanzania.mungu atusaidie wenye nia na hi kazi milango ifunguke tuipate...amina
 
nenda jkt kwanza ndo wana kupic toka huko
 
Kwa sasa njia rahisi ni jkt. Kule wanapick watu wao mara baada ya mafunzo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…