Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
nakushauri mdogo wangu usiitamani hii kazi ya hovyo,
unajua umasikini tulionao kama taifa umesababishwa na hawa jamaa wanojiita usalama wa taifa, wAnajidai wazalendo kumbe njaa tupu wameukumbatia mfumo dhalimu wa kinyonyaji na kifisadi kwa mtu mwadilifu na mzalendo sikushauri uitamani hii kazi ya kinafiki tafuta kazi ingine HALALI ILI UIPATIE FAMILIA YAKO MAHITAJI USISAHAU KULIPA KODI ZA NCHI, INGAWA WAJANJA WANAKULA MUNGU AKUBARIKI KAMA UTA FUATA USHAURI WANGU
watakuonea wapi ndugu yangu? Sikuhgizi ni mwendo wa kujuana, wewe anakujua nani?
Ushakosa kama hawajakuona.
Bila kua na refa katu huwezi ingia humo,zamani enzi za jk ulikua unatafutwa kwa sifa na vigezo vya uadilifu kuanzia kwenye familia yako,lakini siku hizi kama huna unayemjua ndani ya serikali katu usijisumbua.
Ndugu hiyo kazi,hauitafuti bali unatafutwa,recruitment hufanyika katika vyuo,jkt,na katika tasisi nyingine zinazo husiana na mambo ya usalama.kama bado ni raia kwanza jiunge na jeshi,kama ni bahati yako unaweza kufika huko.
college mate wangu,alikuwa recruited tukiwa mwaka wa pili college,yeye akuomba alifuatwa tu.sasa hv yupo katika kitengo cha presidential detail ( secret service).
kwa nijuavyo mie..hawa jamaa wa usalama wanachukua watu toka JKT..kuhusu kujuana ilikuwa zamani sababu kuna rafiki yangu baba yake ni mtu mkubwa sana usalama ila ana 2yrs jobless na kila siku wanaajiri watu wapya.
ndicho nikijuacho
Waungwana usalama haina matangazo,kuitwa ni kimyakimya,bt mwenye taarifa kwamba wanachukua lini atutonye,ili tutumie maujanja ya kitaani kwetu.
Tatizo lako ni upeo finyu wa mawazo
Kwa jinsi unavyopenda usalama wa taifa na jinsi ulivyonyesha uhitaji, tayari umeshakuwa...hongera sana...ila kwa shauri nenda ofisi ya mkuu wilaya uliyo karibu nayo au kwa afisa upelelezi wa polisi wilaya au mkoa tatizo lako litakuwa limeisha. Leta mrejesho nyuma baada ya mafanikio
Wapo hapa watakupm
Tafuta shughuli za kufanya achana na hizi ndoto ,humu wao wenyewe nafikiri wanachoka na ndio maana wanajitangaza maabaani kuwa wao wanafanya shughuli fulani
Kanyigo , harakat , STOPJamani nataka kujua ni vigezo gani mtu natakiwa niwe navyo ili niweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa...na process zake zikoje
Kuna kozi gani ili niwe mbunge
nisaidieni tu ndugu mana ni kazi ambayo naisikia damuni
Usalama wa Taifa
Kanyigo , harakat , STOP
===> Mkuu ifweero acha kuwadanganya wenzako waache watafute mbinu nyingine za kuishi,huko wala wasikimbilie,inaonekana wewe ifweero uko huko, hakuna kipya kule zaidi ya kuapata sifa bila hela, kama unataka kubana fursa zako nenda huko,utaishia kupiga vizinga mpaka ukome.
===>Tafuta fursa nyingine.