PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,104
- 1,924
Ni swali dogo ila gumu ki mantiki, Kama Corona viruses wanaweza kukaa kwenye kitu chochote na kwenye hewa zaidi ya masaa matatu, je usalama wa waaguzi na wahanga upoje?
Ndiyo kusema zile coats/ protective gears wanazotumia Madaktari haziwezi shikwa na Hawa viruses? Kama jibu Ni ndiyo, Ni chemicali gani zimetumika kuzitengenezea ambazo zitumike pia Kama Kinga kwa ugonjwa huu?
Kama jibu Ni hapana, kumbe Kuna uwezekano hizo barakoa, overall coats na ambulance zinaweza kuwa chanzo Cha kueneza virusi Hawa? Nani anitoe wasiwasi huu!!?