Usalama upo?

Usalama upo?

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Unasemaje hapo?
 

Attachments

  • LOCOMOTIVES.jpeg
    LOCOMOTIVES.jpeg
    91.3 KB · Views: 570
Upo kwanini usiwepo, walipotengeneza waliyafikira hayo
 
Usalama upo, treni haina steering, inafuata reli yake haiwezi kwenda reli isiyo yake hapo na ukizingatia ni ya mizigo, ikiwa ya abiria hapo noma itawapa kiwewe.
 
Ni mipango hakuna kinachoshindikana...
 
Kwa nini usalama usiwepo wajamen! Kila lidude linapita kwenye reli yake ila abiria hawatakiwi kutoa vichwa vyao kutazama nje!
 
Kama ni kwa wenzetu huko usalama utakuwepo wa kutosha tu ila kama ni Africa especially Tz usalama utoweka kabisa
 
From dar es salaam-tanzania to kigoma- tanganyika, (new nation)
 
Kama ni kwa wenzetu huko usalama utakuwepo wa kutosha tu ila kama ni Africa especially Tz usalama utoweka kabisa





Umeniwahi mkuu nilikuwa na mawazo kama yako,maana kwetu kila kitu hakiwezekani..labda ufisadi tu ndio tumepiga hatua..
 
Back
Top Bottom