Haya mambo ni magumu, kila mtu na namna anavyojisikia kuoa, wapo waliooa wanawake ambao wamewakuta kwenye madanguro makubwa, hawa kuna suala la kuulizana, umekutana na wanaume wangapi? au poda kapakaje, au akifika ndani umhesabie finyango za nyama, si mapenzi motomto kwenda mbele...Mi haya uliyoyatoa mzee banana nadhani yamepitwa na wakati kinachoangaliwa sasa ni aina ya service's tu mtu anafika bei ya jumla huko ndani kitaeleweka tu, kama kumbadilishia namba ya simu na kumweka ndani tu inatosha.