Usajili wakulima

kidu27

Member
Dec 27, 2015
21
0
Hallo ndugu naomba kujua ili niweze sajiri lasimi kikundi cha wakulima nifanyeje hatua zake, inachukua muda gani, gharama yake hadi kumaliza ni kiasi gani, vitu vya muhimu inavyobidi niandae. Asanteni naomba msaada wenu.
 
KAMA NI KIKUNDI CHA WAKULIMA KINACHOJIHUSHISHA NA KILIMO, FIKA WILAYANI KWAKO MUONE
AFISA USHIRIKA WA WILAYA/HALMASHAURI YAKO, AU BIBI MAENDELEO ALIYEPO HAPO HALMASHAURI KWAKO. KUNA MAMBO ATAKUSHAURI IKIWAPO KIKUNDI ILI KISAJILIWE LAZIMA KIWE NA KATIBA YAKE, MUUNDO WA UONGOZI, KAMA NI KIKUNDI KITAKUWA KINAOPERATE NDANI YA HALMASHAURI HAPO KITASAJILIWA KWA MKURUGENZI CHINI YA OFISI YA MAENDELEO.GHARAMA SIJAJUA NI TSH NGAPI.

Back
Top Bottom