Hamna tanzania ya viwanda labda vibanda sawa.Uchochezi ni nini ? Badala ya kuvizia hao wachochezi kwanini matumizi ya simu yasipigwe marufuku ili tujikite kwenye Tanzania ya viwanda ?
Nyambaf sio tusi. Unaweza kutuonyesha kwenye kamusi kama nimekutukana. Majina yanafanana mfano kuna yohana ezekiel masesa watano yupi utamweka kwenye fingerprint zinazofanana na zake. So kama wote wana fingerprint nic, pasport, line ya simu ukimquery mtu flani majina yatakuja na fingerprint za kila mtu zikiwa zipo linked pamoja kwenye database zote 3Una-link utambulisho wa mtu sio vitambulisho, fingerprint ni unique hata ichukuliwe na taasisi 101 itabaki ileile
By the way, kutukana ni upuuzi na beware baada ya hili zoezi hii tabia ya kutukana kiholela itakutokea puani
Hii siyo nchi tena mbali ni mali ya akina BashateLengo la nchi linapokuwa ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza badala ya Maendeleo ni hatari sana !
Nimetumiwa sms na Airtel pamoja na Tigo wakinijulisha kuhusu utaratibu mpya wa kusajili line ya simu kwa kutumia alama za vidole kuanzia mwezi ujao, Bila shaka kuna wengine mmeona jambo hili.
Najaribu kujiuliza kwanini nchi hii vitu vinabadilika kila baada ya sekunde chache, utaratibu huu mpya umelenga nini?