Usajili wa namba za simu kutumia alama za vidole ni kwa sababu zipi?

UdU Mkuu mbele kwa mbele. Watu wasiojulikana kazini.

Nimetumiwa sms na Airtel pamoja na Tigo wakinijulisha kuhusu utaratibu mpya wa kusajili line ya simu kwa kutumia alama za vidole kuanzia mwezi ujao , Bila shaka kuna wengine mmeona jambo hili.

Najaribu kujiuliza kwanini nchi hii vitu vinabadilika kila baada ya sekunde chache , utaratibu huu mpya umelenga nini ?
 
Halotel message

Screenshot_20180129-173019.png


Vodacom message

IMG-20180129-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom