Usajili wa namba za simu kutumia alama za vidole ni kwa sababu zipi?

Ubarikiwe sana mkuu.
93385e2f6f7c710cdc04cb98c7409589.jpg
 
Biometric haimaanishi alama za vidole peke yake. Lengo ni zuri sana na tutalifuraia baadaye
 
simple unakatiza Mozambique unanunua sim una roam!!! gharama sawa tuu ila nchi itapunguza mapato kiasi fulani
 
Nimetumiwa sms na Airtel pamoja na Tigo wakinijulisha kuhusu utaratibu mpya wa kusajili line ya simu kwa kutumia alama za vidole kuanzia mwezi ujao , Bila shaka kuna wengine mmeona jambo hili.

Najaribu kujiuliza kwanini nchi hii vitu vinabadilika kila baada ya sekunde chache , utaratibu huu mpya umelenga nini ?
Huu utaratibu mzuri. Naipongeza Serikali kuamua kusajili line kwa staili ya kuweka fingerprint. Ingawa kutakuwa na changamoto nyingi lakini mwanzo mzuri.
 
Sasa yale mapicha mliyowapiga walipokuwa wanasajili mwanzo yalikuwa ya kazi gani ?
Mkuu wewe hili unadhani ni jambo baya?tatizo watz kila kitu ni siasa tu hata kwenye maswala ya msingi mnaleta siasa Mimi binafsi nashukuru sana hata Rais alivyopiga stop mikutano ya siasa holela maana tumekalia siasa siasa tu
 
I was shocked too.. What is going around, sbb ya kusajili line tu ilikuwa kazi kweli, au labda finger print ndio itakuwa usajili wako badala ya kitambulisho? Which is which? Labda TCRA wataleta details
 
Nimetumiwa sms na Airtel pamoja na Tigo wakinijulisha kuhusu utaratibu mpya wa kusajili line ya simu kwa kutumia alama za vidole kuanzia mwezi ujao , Bila shaka kuna wengine mmeona jambo hili.

Najaribu kujiuliza kwanini nchi hii vitu vinabadilika kila baada ya sekunde chache , utaratibu huu mpya umelenga nini ?
Watu wasiojulikana
 
Mkuu wewe hili unadhani ni jambo baya?tatizo watz kila kitu ni siasa tu hata kwenye maswala ya msingi mnaleta siasa Mimi binafsi nashukuru sana hata Rais alivyopiga stop mikutano ya siasa holela maana tumekalia siasa siasa tu
Baada ya kupongeza uozo wa kuzuia mikutano ya siasa nimeamua kukudharau .
 
Nimetumiwa sms na Airtel pamoja na Tigo wakinijulisha kuhusu utaratibu mpya wa kusajili line ya simu kwa kutumia alama za vidole kuanzia mwezi ujao , Bila shaka kuna wengine mmeona jam
Najaribu kujiuliza kwanini nchi hii vitu vinabadilika kila baada ya sekunde chache , utaratibu huu mpya umelenga nini ?
KUCHUKULIWA ALAMA ZA VIDOLE NI POLISI AU VITAMBULISHO VYA TAIFA AMBAO WANACONTROL KUHAKIKISHA ANAYECHUKULIWA NI YEYE NA JINA NI LAKE NK. NANI KAWARUHUSU KUFANYA HII KAZI? HATARICSANA NASEMA.
 
Back
Top Bottom