Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Hapana siyo 9999 ni 999 ndiyo tunahamia herufi nyingineDAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Uzi ufungwe Sasa. Maana umemaliza kila kitu.A, B na C zilipaa kwasababu kama 3
1. Usajili mpya wa number za TZ............
2. Usajili wa pikipiki, ilipofikia D pikipiki na bajaj zikaanza kupewa MC 000 XXX ilikuwa 2014
3. Vyuma kukaza nadhani ila siyo sababu yenye nguvu sababu ujio wa uber vibebi woka vimeongezeka sana mjini na number mpyampya.
Sasa tupo DQDAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Plate number zetu zina digits 3 tu, acha kupotosha.DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Hata mimi mkuu, imetosha sasa kutembea juani, namba E lazima tubebe mkebe mkuu, MUNGU ni mwema.Kwenye E nitapambana nipate kamkebe kangu
AmenHata mimi mkuu, imetosha sasa kutembea juani, namba E lazima tubebe mkebe mkuu, MUNGU ni mwema.
Tupo DRB.DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Hata mimi mkuu, imetosha sasa kutembea juani, namba E lazima tubebe mkebe mkuu, MUNGU ni mwema.
Wakati napitia report ya CAG nilisoma mahala kuwa ofisa wa juu wa CDM alikopeshwa gari na chama, kuulizia atakuwa nani nikasikia tetesi kuwa alikuwa mbowe (Mwenyekiti wa chama) nikaona huyu mheshimiwa ana jambo la kuigwa. Ifike mahala sasa maofisa wa serikali wakiwemo mawaziri na Makatibu wakuu wakopeshwe magari badala ya serikali kubeba mzigo wa kuhudumia haya magari. Kwanza, watayatunza kwani wanajua ni ya kwao, Pili, watachagua magari ya bei nafuu ili kuepukana na mzigo wa madeni, tatu, tutatenga budget kidogo kwani watakopeshwa moja kwa moja na wauzaji badala ya kuchota fedha za serikali.Habari wakuu.
Magari ya serikali yanayotoka yapo kwenye usajili wa namba STL XXXX ama yale ya miradi chini ya ufadhiri yanasajiliwa kwa namba DFPA.Vivyo hivyo kwa pikipiki.
Mbona mtaani mm naona namba D imekaa sana au namba E tayari ipo mkononi ?
Wanaume wa Dar tujuzeni.
Okey asanteHapana siyo 9999 ni 999 ndiyo tunahamia herufi nyingine
MAJIBU HALISI YAPO KWENYE POST NAMBA #5 HAPO JUU
Pambana upate gari mkuu, mikebe inauzwa hata m3Kwenye E nitapambana nipate kamkebe kangu