Usajili wa magari ya Serikali umefikia namba STL, magari binafsi mbona yamekaa sana namba D?

DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Wrong ni gari 999 tu kila combination ina gari 999 ni tarakimu 3.
 
We jamaa hivipunde umenichekesha.
Ipo hivi, hayo magari ya serikali si kwamba yamefika usajili wa STL bali ni hivi
STL _secta na taasisi za lazima
STK_Sekta na taasisi za kiserikali
DFP_ Donor funded projects
SU_Shirika la umma
SM_serikali za mitaaa
N.k
 
Kwa sasa tupo DQ mbona sion DO ililukwa au kuna technical ishu hapa tujuzeni wadau hapa
 
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Usajili wa magari huanza namba 101 mpaka 999 kwa kila herufi 1
 
We jamaa hivipunde umenichekesha.
Ipo hivi, hayo magari ya serikali si kwamba yamefika usajili wa STL bali ni hivi
STL _secta na taasisi za lazima
STK_Sekta na taasisi za kiserikali
DFP_ Donor funded projects
SU_Shirika la umma
SM_serikali za mitaaa
N.k
Umepotosha kwenye STL na STK, ST naamini zilianzia A mimi nimeanza kujitambua nimekuta kwenye STG,zikaja STH, STJ, STK then STL,
 
Ww ndio muongo tena kwa vitu usivyovijua

Hizo STK,STL ni series iliyotoka mbali binafsi nimeziona STA,STC,STD,STG,STH,STJ,STK,STL

Sasa labda utupe na virefu vya hizo zilizopita tukuone unajua na sio kilaza.
Badthing huwa siwezi kubishana na watu wenye akili ndogo.kabishane na wenzako
 
We jamaa hivipunde umenichekesha.
Ipo hivi, hayo magari ya serikali si kwamba yamefika usajili wa STL bali ni hivi
STL _secta na taasisi za lazima
STK_Sekta na taasisi za kiserikali
DFP_ Donor funded projects
SU_Shirika la umma
SM_serikali za mitaaa
N.k
Ulishawahi kumuona mtu aliyevamia swali na kujifanya anajua sanaaaaaa,full masifa halafu akaanza kushuka swali hilo kwa mbwembwe lakini bahati mbaya hajui chochote na anashuka pumbaaaaaaa

Basi watu hao wana sifa km zako mkuu.Hv we hayo magari ya serikali umeanza kuyaona leo au?mpaka kutletea hizo tafsiri za uongo za STK na STL??

Dah aisee halafu unakazia eti "Sekta na Taasisi za Lazima" we jamaa ww komaa kutudanganya wakubwa zako.
 
form 4 kuna topic ya probability,

n!, mkali wa probability fanya hapa hesabu tujue D, yanapaswa kiwa mangapi!
 
Badthing huwa siwezi kubishana na watu wenye akili ndogo.kabishane na wenzako
Bad thing wapi brother unataka kutudanganya wkt kitu chenyewe hukijui???Acha habari hizo bhana,akili yangu ndogo kweli ila inajitosheleza kwa mahitaji yangu ya msingi miongoni mwake ni kuwashtukia wazembe km ww ambao kwa lugha nyingine tunawaita "Much know"

You pretend to know much contrary to your ability.Nyie ndo wale kila abbreviation utakayoiona unataka uipe kirefu.Bogus kabisa.
 
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Mkuu mimi nimepewa DQ previous month
 
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Una maana gani kusema DAB?
 
Habari wakuu.

Magari ya serikali yanayotoka yapo kwenye usajili wa namba STL XXXX ama yale ya miradi chini ya ufadhiri yanasajiliwa kwa namba DFPA.Vivyo hivyo kwa pikipiki.

Mbona mtaani mm naona namba D imekaa sana au namba E tayari ipo mkononi ?

Wanaume wa Dar tujuzeni.
Hapa ndio mnaona thamani ya wanaume wa dar haya kawaulize wa mikoani si mnatuponda sisi wa dar kila siku
 
Wrong ni gari 999 tu kila combination ina gari 999 ni tarakimu 3.
Kuna jamaa anasema zinaanza Na 101 na sio magar 999 tena bali mi 899 kwq maaana ya 1000 toa 101 ambayo ndo namba wanaanza nayo na kweli sjawahi ona gani inaa namba 001 au 002 au 010 au 089 au 099 labda kama kuna mwenye ushahidi aweke hapa picha tuone.
 
We jamaa hivipunde umenichekesha.
Ipo hivi, hayo magari ya serikali si kwamba yamefika usajili wa STL bali ni hivi
STL _secta na taasisi za lazima
STK_Sekta na taasisi za kiserikali
DFP_ Donor funded projects
SU_Shirika la umma
SM_serikali za mitaaa
N.k
We jmaa uko vizur sana kama na kuelewa vile
 
Back
Top Bottom