Usajili wa magari ya Serikali umefikia namba STL, magari binafsi mbona yamekaa sana namba D?

DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
DQ
 
Habari wakuu.

Magari ya serikali yanayotoka yapo kwenye usajili wa namba STL XXXX ama yale ya miradi chini ya ufadhiri yanasajiliwa kwa namba DFPA.Vivyo hivyo kwa pikipiki.

Mbona mtaani mm naona namba D imekaa sana au namba E tayari ipo mkononi ?

Wanaume wa Dar tujuzeni.
Sijui imetumia sehemu gani ya mwili kufikiria huu Uzi wako!!!
 
We jamaa hivipunde umenichekesha.
Ipo hivi, hayo magari ya serikali si kwamba yamefika usajili wa STL bali ni hivi
STL _secta na taasisi za lazima
STK_Sekta na taasisi za kiserikali
DFP_ Donor funded projects
SU_Shirika la umma
SM_serikali za mitaaa
N.k
Taasisi ya lazima na taasisi ya tofauti yake nini ? Taasisi yetu ni ya serikali tunatumia STL .
Kuna TATA imekufa Ina namba STG .

STG,STH,STJ,STK ,STL
huoni Kama hio Ni mfatano wa Allphabeti

STI ilirukwa kwa maana I ni namba 1 Kama ilivyorukwa DOA ikaja DPA kwakua O Ni namba 0
 
Kuna jamaa anasema zinaanza Na 101 na sio magar 999 tena bali mi 899 kwq maaana ya 1000 toa 101 ambayo ndo namba wanaanza nayo na kweli sjawahi ona gani inaa namba 001 au 002 au 010 au 089 au 099 labda kama kuna mwenye ushahidi aweke hapa picha tuone.
huenda yupo sahihi mimi nilitumia logic tu kwa kuwa ni tarakimu tatu.
 
Kila herufi ni Magari 899
Kwenye herufi O na I hazipo sababu zinaingiliana na 0 na 1 hivyo kwa kila A hadi Z ziko 24 ambayo hufanya jumla ya magari kwenye A kuwa 21576
Hapo ni DAA hadi DAZ
Tukija kwenye DBAhadi DBZ nayo ni 21576
Ukizidisha kwa 24 ambayo ni Herufi ya 3 Unapata Magari 517824

Hivyo Complete ya DAA hadi DZZ itakuwa na Magari 517824

Jumla ya Magari Tanzania haizidi 2Mil kwa Magari Binafsi

Pikipiki na Bajaj zishazidi 1.3Mil maana zenyewe zimekamilisha A hadi sasa ziko C bila ingiliwa kama Magari yalivyoingiliwa....

Kuna uwezekano Mkubwa sana Pikipiki zikazidi Magari Miaka 5 ijayo

Ila DQ imechelewa sana maana yake gari zenye namba Q hazijafika 20000
 
We jamaa hivipunde umenichekesha.
Ipo hivi, hayo magari ya serikali si kwamba yamefika usajili wa STL bali ni hivi
STL _secta na taasisi za lazima
STK_Sekta na taasisi za kiserikali
DFP_ Donor funded projects
SU_Shirika la umma
SM_serikali za mitaaa
N.k
Aise! STL Imetokea STG,STH,STJ,STK,STL.....Ikifika 9999 itaanza STM
 
Habari wakuu.

Magari ya serikali yanayotoka yapo kwenye usajili wa namba STL XXXX ama yale ya miradi chini ya ufadhiri yanasajiliwa kwa namba DFPA.Vivyo hivyo kwa pikipiki.

Mbona mtaani mm naona namba D imekaa sana au namba E tayari ipo mkononi ?

Wanaume wa Dar tujuzeni.
Magari ya serikali yanaishia 9999 yanaenda herufi nyingine. Yaani ikifika STK 9999 inahamia STL

Huku kwenye magari binafsi usajili wake unaaza 100 hadi 999 kwa herufi A to Z kasoro herufi i na o.

Kwa mfano usajili wa DAA pekee una magari 899, kisha inahamia DAB magari 899 hapa ukifika DAL 999 pekee utakuwa na magari 9,889 ukiongeza magari 110 ya DAM tiyari umeshalingana na usajili wa STK yaani magari 9999. Hapo bado upo kwenye DAM pekee na bado haujafika DAZ uhamie DBA.

DAA mpaka DAZ kuna jumla ya magari 899x24 = 21,576. Hapo tu pekee kama yangekuwa magari ya Serikali tungekuwa na STL, STM hadi STN.

Pia awali namba zilibadilika haraka kwenye AAA, BAA na pengine CAA kutoka na kutakiwa kuhamisha usajili wa zamani mfano TZ, MG, MZ kwenda mfumo wa sasa, lakini pia usajili ulihusisha pikipiki ambapo utaona kabisa mapikipiki yalivyo mengi kusajiliwa kwa namba za magari badala ya mfumo wa sasa wa MC.

Kwa hiyo waTanzania wenzangu hebu tujifunze kudadisi mambo sio ukiambiwa kitu unakimbilia kusema vyuma vimekaza. Vyuma vimekaza kwa wasiofanya kazi si kwa kila mtu.

CC. Hivi punde
 
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Tupo kwenye DQ
 
Mkuu STI sijaiona umesahau au haikuwepo?
Ww ndio muongo tena kwa vitu usivyovijua

Hizo STK,STL ni series iliyotoka mbali binafsi nimeziona STA,STC,STD,STG,STH,STJ,STK,STL

Sasa labda utupe na virefu vya hizo zilizopita tukuone unajua na sio kilaza.
 
Back
Top Bottom