Usajili wa magari ya Serikali umefikia namba STL, magari binafsi mbona yamekaa sana namba D?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,302
2,000
Habari wakuu.

Magari ya serikali yanayotoka yapo kwenye usajili wa namba STL XXXX ama yale ya miradi chini ya ufadhiri yanasajiliwa kwa namba DFPA.Vivyo hivyo kwa pikipiki.

Mbona mtaani mm naona namba D imekaa sana au namba E tayari ipo mkononi ?

Wanaume wa Dar tujuzeni.
 
Sauli

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
412
1,000
A, B na C zilipaa kwasababu kama 3

1. Usajili mpya wa number za TZ............
2. Usajili wa pikipiki, ilipofikia D pikipiki na bajaj zikaanza kupewa MC 000 XXX ilikuwa 2014
3. Vyuma kukaza nadhani ila siyo sababu yenye nguvu sababu ujio wa uber vibebi woka vimeongezeka sana mjini na number mpyampya.
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,984
2,000
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,888
2,000
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Hapana siyo 9999 ni 999 ndiyo tunahamia herufi nyingine
MAJIBU HALISI YAPO KWENYE POST NAMBA #5 HAPO JUU
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,993
2,000
A, B na C zilipaa kwasababu kama 3

1. Usajili mpya wa number za TZ............
2. Usajili wa pikipiki, ilipofikia D pikipiki na bajaj zikaanza kupewa MC 000 XXX ilikuwa 2014
3. Vyuma kukaza nadhani ila siyo sababu yenye nguvu sababu ujio wa uber vibebi woka vimeongezeka sana mjini na number mpyampya.
Uzi ufungwe Sasa. Maana umemaliza kila kitu.
 
Sauli

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
412
1,000
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Sasa tupo DQ
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,774
2,000
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Plate number zetu zina digits 3 tu, acha kupotosha.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,291
2,000
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Tupo DRB.
 
lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,355
2,000
Namba D imekaa sana sababu pikipiki hazisajiliwi tena zina namba zake toka 2014... Ilipoanza DA basi pikipiki nazo zikanza MC AAA...

Ndio mana ukiangaoia namba D Imemeza gari zenye namba A,B na C....
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,720
2,000
Habari wakuu.

Magari ya serikali yanayotoka yapo kwenye usajili wa namba STL XXXX ama yale ya miradi chini ya ufadhiri yanasajiliwa kwa namba DFPA.Vivyo hivyo kwa pikipiki.

Mbona mtaani mm naona namba D imekaa sana au namba E tayari ipo mkononi ?

Wanaume wa Dar tujuzeni.
Wakati napitia report ya CAG nilisoma mahala kuwa ofisa wa juu wa CDM alikopeshwa gari na chama, kuulizia atakuwa nani nikasikia tetesi kuwa alikuwa mbowe (Mwenyekiti wa chama) nikaona huyu mheshimiwa ana jambo la kuigwa. Ifike mahala sasa maofisa wa serikali wakiwemo mawaziri na Makatibu wakuu wakopeshwe magari badala ya serikali kubeba mzigo wa kuhudumia haya magari. Kwanza, watayatunza kwani wanajua ni ya kwao, Pili, watachagua magari ya bei nafuu ili kuepukana na mzigo wa madeni, tatu, tutatenga budget kidogo kwani watakopeshwa moja kwa moja na wauzaji badala ya kuchota fedha za serikali.

mbona wabunge wao hukopeshwa magari na wanajiendesha wenyewe na hatuoni mapungufu katika utumishi wao? kwanini kada zingine zisiige mfano wa mh.mbowe na wabunge? wakopeshwe magari ili wayatunze wakimaliza mkopo yawe ya kwao.

Ukienda vituo vya polisi utakuta magari makukuu sijui ya mwaka gani na sijui hatakama wanampango wa kuyafufua, sasa kwanini hawa ma ocd na rpc tusiwakopeshe haya magari baada ya miaka mitano yanakua ya kwao wakitaka wayauze naimani watayatunza na yatatumika vizuri Zaidi, sasa hivi utakutana na landcruiser ya polisi imebeba askari Zaidi ya thelathini, kama haujawahi ona landcruiser imepinda chesis nenda polisi sijui wanabebaga na nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom