Mlaleo JF-Expert Member Oct 11, 2011 13,388 9,758 Aug 7, 2021 #22 Wakija Old Trafford tunawadunda tu kama kawa kama dawa
Papaa Gx JF-Expert Member Oct 10, 2016 10,092 15,673 Aug 7, 2021 #23 Acheni kujipa matumaini hewa, PSG hawezi kumchukua Messi. Mahesabu yatagoma, Messi ni kama ataelekea Chelsea.
Acheni kujipa matumaini hewa, PSG hawezi kumchukua Messi. Mahesabu yatagoma, Messi ni kama ataelekea Chelsea.
N nguvu JF-Expert Member Jun 13, 2013 21,042 19,834 Aug 7, 2021 #24 Ziroseventytwo said: PSF ndio club itakayomudu gharama za malopo ya messikwa sasa. Na hii corona sioni kama kuna club nyingine itakayoweza kumudu. Click to expand... Mzee una haraka kuliko haraka yenyewe, soma kwa makini ulichoandika
Ziroseventytwo said: PSF ndio club itakayomudu gharama za malopo ya messikwa sasa. Na hii corona sioni kama kuna club nyingine itakayoweza kumudu. Click to expand... Mzee una haraka kuliko haraka yenyewe, soma kwa makini ulichoandika
N nguvu JF-Expert Member Jun 13, 2013 21,042 19,834 Aug 7, 2021 #25 Yaani leo Ramos na Messi timu moja!!!
SN.BARRY JF-Expert Member Oct 12, 2012 4,040 8,895 Aug 7, 2021 #26 Hao wooote kiboko yao Ngolo Kante. PSG ikikutana na Chelsea ni kichapo tu, hatuangali sura.