Ile Ile 20mPale kwenye akaunti ni ileile M20 kwa micro credit au vigezo vimebadilika?
Kwenye AccHivi 20m kwa micro inatakiwa kuwa kwenye acc au kwenye mzunguko mkuu? Nicheck inbox I am interested
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aiseeeee au ndo KAUSHA DAMU nini??Thanks, Folliculostellate karibu sana 😎
Hahaha naona ndugu yangu Rayns anataka aniunge LBL🤣🤣🤣Folliculostellate kumbe Una kampuni la mikopo bro 😁
Mkuu kuna mtu anataka kuniunga na utapeli wa QNET hahahahhahahaha yaaani yeye kajza hadi boxer halafu ananiambia me kuna pesaaaa🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu piga pesa acha uoga 😂
Qnet ndio nini ? kubeti au ? anyway kikubwa ni kupata pesa kwa uhalali, vingine majuto huja baada ya kuufyata 🙂Mkuu kuna mtu anataka kuniunga na utapeli wa QNET hahahahhahahaha yaaani yeye kajza hadi boxer halafu ananiambia me kuna pesaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Kampuni ya kitapeli mkuu watu wanajiunga kwa kununua bidhaa kwa aajili ya matumizi yao wao wenyewe halafu bei ni 5.6M nk ili ujiunge hahahahahahQnet ndio nini ? kubeti au ? anyway kikubwa ni kupata pesa kwa uhalali, vingine majuto huja baada ya kuufyata 🙂
Imesajiliwa na Serikali au hadi serikali wanawawinda ? au ndio Aim Global ?Kampuni ya kitapeli mkuu watu wanajiunga kwa kununua bidhaa kwa aajili ya matumizi yao wao wenyewe halafu bei ni 5.6M nk ili ujiunge hahahahahah
Hahah wacheza LBL wamelizwa sana huko piaImesajiliwa na Serikali au hadi serikali wanawawinda ? au ndio Aim Global ?
Hahaa, unaonekana ni mtaalamu wa hizi kampuni za kubeti 🙂Hahah wacheza LBL wamelizwa sana huko pia
Mpira wenyewe sishabikii sembuse kubetiHahaa, unaonekana ni mtaalamu wa hizi kampuni za kubeti 🙂