Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football
Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana

Leo tazama wachezaji maingizo mapya

1. Mohamed Doumbia
Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki

2. Andy Boyeli
Striker tembo, huyu jamaa anaujua mpira ni striker force, anapigia miguu yote, anaruka
Mimi nabii, Andy Boyeli ndo top scorer msimu ujao

3.Ecua
Huyu alikuja kuziba nafasi ya Musonda.

Ni mchezaji mzuri mno. Akipata. Utulivu na kucheza kitimu ni Mali sana

4. Lassine Kouma
Huyu dogo miaka 21 ana balaa, hapendelei mpira wa kasi, anapiga basi za kuvuka wapinzani
Ni bonge la mchezaji

5 Offen Chikola
Huyu anakuja kuanza first 11. Ni mchezaji mzuri mno

6. Balla Conte

Hili ni balaa, jamaa anakaba hadi kivuli, anaingia uvunguni Mali anachukua.
Sijui ana mapafu Gani aisee, jamaa hachoki

7.Edmund John
Ana pressure ila Bado kijana mdogo, anafundishika atakuwa imara zaidi

8. Mohamed Hussein
Huyu siongei sana, akichecheza upande mmoja na Pacome Kuna timu itahamia Sudan Kusini

Hii Yanga ya Doumbia na Kouma Kuna timu zitabaki huko Egypt zikiogelea kama mabata, haya

Ngao ya jamii hiyo Yanga watoe kipigo cha 6 mfululizo
 
Balla Contwe
IMG-20250815-WA0070.jpg
 
Makolo vipi
 
Tunawadharau wachezaji wetu ila mchezaji km Chikola ni mtu na nusu haswaaa. Edmundi ukimuangalia kwa haraka unaona kabisa ana kitu cha maana. Hao wageni ni wa kawaida tu sio wakutisha saaaana. Pacome atabaki Pacome jamaa anajua sn boli.
 
Huyo chikola ni mzuri ila kuingia first eleven sio rahis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom