Usaili wa Tax Officers waahirishwa

Yaani kabla ya kurudia usaili Mwingine,(1)TAKUKURU IINGIE KAZINI.HAO MAAFISA WOTE WALIOHUSIKA KUVUJISHA MITIHANI HIYO,WASIMAMISHWE KAZI NA KUFUKUZWA WOOOTE.Maana wameleta hasara na aibu kubwa kwenye hii secretariet.Ina maana haitaaminika Tena ki-vyovyote vile kwa Wa-Tanzania."Naamini TAKUKURU kwao hii Ni kazi ndogo Sana kuwabaini Hawa wahalifu.Watakaobanika pia wafunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi,maana Hapa Serikali umepoteza pesa na muda.Pia Vijana wetu wamepoteza kwenye nauli na hoteli za kulala hata like kidogo walichokuwa nacho.
(2)Waziri wa Utumishi aunde tume kuchunguza hii kashfa.Maana inaelekea huu ndio mchezo wao.Huko nyuma kwenye usaili zolizopita Lazima ujinga huu umekuwa ukifanyika.PIA HIYO SECRETARIET IVUNJILIWE MBALI,maana imepoteza credibility.Bora usaili utakaporudiwa,Serikali itumie kampuni Makini ambazo Ni International,kusimamia hUO usaili upya.(3)Papers zote za wasahiliwa zipitiwe kwa umakini wakati wa kusahihisha Ili kugunduaWale wote waliopata hUO mtahani watajulikana,maana watakuwa wameandika majibu extra ordinary na kufaulu kwa max za juu Sana.Hawa nao wabanwe waeleze jinsi na Ni akina Nani waliwapa Hiyo mitihani.Pia wapigiwe marufuku kufanya usaili wa marudio na marufuku kuomba kazi kupitia SECRETARIET ya ajira.
 
Naunga hoja kila ulichokisema mdau.
 
  • Thanks
Reactions: BKA
Nilichomanisha bado siamini kuwa pepa na marking scheme kama ilivyotumwa humu vyote vilivuja,
Sasa ikiwa marking scheme haikuvuja na imepostiwa imevuja, yaweza halalisha mitihani haikuvuja Jambo ambalo si kweli
If A=B,B=C then A=C
 
Ilivuja necta 98, wakafuta na watu kurejea tena mitihani mapema 99.

Hii inji ipo kimipango sana.

Maoni yangu,

Utumishi watoke huku kwenye manual interview (analojia) waende kidigitali zaidi.
Ngoma ziwe online, ukisubmit tu inakupa score na mrejesho kama unaenda sec round.
 
Yaani kabla ya kurudia usaili Mwingine,(1)TAKUKURU IINGIE KAZINI.HAO MAAFISA WOTE WALIOHUSIKA KUVUJISHA MITIHANI HIYO,WASIMAMISHWE KAZI NA KUFUKUZWA WOOOTE.Maana wameleta hasara na aibu kubwa kwenye hii secretariet.Ina maana haitaaminika Tena ki-vyovyote vile kwa Wa-Tanzania."Naamini TAKUKURU kwao hii Ni kazi ndogo Sana kuwabaini Hawa wahalifu.Watakaobanika pia wafunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi,maana Hapa Serikali umepoteza pesa na muda.Pia Vijana wetu wamepoteza kwenye nauli na hoteli za kulala hata like kidogo walichokuwa nacho.
(2)Waziri wa Utumishi aunde tume kuchunguza hii kashfa.Maana inaelekea huu ndio mchezo wao.Huko nyuma kwenye usaili zolizopita Lazima ujinga huu umekuwa ukifanyika.PIA HIYO SECRETARIET IVUNJILIWE MBALI,maana imepoteza credibility.Bora usaili utakaporudiwa,Serikali itumie kampuni Makini ambazo Ni International,kusimamia hUO usaili upya.(3)Papers zote za wasahiliwa zipitiwe kwa umakini wakati wa kusahihisha Ili kugunduaWale wote waliopata hUO mtahani watajulikana,maana watakuwa wameandika majibu extra ordinary na kufaulu kwa max za juu Sana.Hawa nao wabanwe waeleze jinsi na Ni akina Nani waliwapa Hiyo mitihani.Pia wapigiwe marufuku kufanya usaili wa marudio na marufuku kuomba kazi kupitia SECRETARIET ya ajira.

Ubarikiwe sana kwa ushauri wako, nataman wangechukua huu ushauri!
 
Back
Top Bottom