Kweli mkuu. Hakuna graduate ambae hana ajira. Wote wana ajira wanatuzingua tu
huo mtihani wenyewe kaka ulikuwa haufai. Sijui wanapima professionalism ya mtu vipi.
wanazalilisha elimu kwakweli. Mimi nimefanya ila ya moto nimeiona
ivi wasomi wote hao hawana ajira daa!
Hapo somo la ujasiliamali lazima lifunzwe katika ngazi zote za elimu ili kunusulu vitu kama hivyo
Ramase@hivi majib watabandika pale diamond au wapi tena?
Sure, akitokea mtu au kundi lenye ushawishi wa pesa vijana watajiunga tuu maana hawana kazi maalumu....hapo ndo kutakuwa na mvurugo wa amani..
Kenya vijana wanajiunga na alishababu koz wengi hajira hawana...so mtu anaona ni bora akalipwe na magaidi ili aweze pata mkate wake wa kila siku...
So mwakani tufanye maamuzi magumu ya kumchagua mtu na sio chama....
Dah!kamaza juu ni hzi 21/35 basi namba za viatu ninyingi sanaaa
Nilikua mmojawapo kune hyo interview.ila nimetoka bila bila naada ya kusubiri masaa yote toka saa moja mpska satisa afu nkazinguliwa provision wakati wenzangu wa mwanzo walifanya paper kutumia hizo provision.alesema vyeti inategemea na mkaguzi alivyoamka alikua sahihi kiaina.maana mwngne anaruhusiwa mwingine anatolewa na mgambo yule sijui polisi.unaongozwa nje kama mhalifu flani ivi.leo ilikua kiboko.sina ham na TRA i say.
asee na mimi yalinikuta hayo hayo tulikuwa na wenzangu 4 tukafukuzwa wakasema wanataka graduates wa 2012/2013 kurudi nyuma,niliondoka kwa hasira yani
Hahha.pole sana.bora ata wewe ulikua na hzo nguvu za hasira maana mi machungu ndo yalinikaba
Mimi nnachojiuliza ni kwann walituita na wakati tulivyoapply tuliandika kabisa tumemaliza mwaka huu?bora wangetunjia baharin mapemaa kuliko kusubiri mpaka siku na mda ufike ndo wazingue.
Kuna jamaa katoka huko sio mda mrefu anasema walinzi wa pale diamond wamewambia matokeo hawabandiki instead watayaweka kwenye web site yao TRA kuanzia saa 10 hii.
mimi nipo hapa live bt sioni kitu mpka nimeanza kuhisi hawa watu ni wababaishaji