Usaili kazi za sensa kesho saa moja asubuhi.

sasa wenzetu wa DAR mambo yenu mnayapata nje nje tu huku arumeru mambo ni kimya kama vile hakunaga sensa mwaka huu, kama watatulipa laki tano ntakua nimepata pesa ya kurudi dodoma ku graduate maana tempo zimekua kaa yesu yaani ni hakunaga kabisa nimetafuta hata ya ulinzi wa usiku nimekosa hii ya sensa nayo nitakosa?
 
usaili kata ya kawe uanendelea,mimi ndo nimetoka saizi,wanakagua vyeti original,unaandika jina lako na mtaa unaokaa basi.ila nilichogundua watu wengi hawakupata taarifa kwa sababu naona watu wengi wanaitwa majina hawapo kwa hyo nyie ambao kata zenu bado jaribuni kutembelea ofisi za kata mara kwa mara.Then wamesema wote tuliofanyiwa usaili leo kesho turudi saa nne asubuhi sasa sijui kama ndo tumeshachukuliwa wote au ndo tutaenda kuona waliochukuliwa.stay tuned
 
habari kutoka chanzo cha kuaminika:malipo ni Tsh 40,000 kwa siku.kwa kipindi chote
 
Kipindi chote kwa maana ipi?wakati wa kuhesabu watu siku7 au kuanzia semina kila siku 40?
 
jaman sisi wa morogoro wote tumechukulia manispaa,so nadhan hata hayo majina yatabandikwa hapo hapo,ila had sasa hamna kitu,kwa anaejua wanaweka lini basi atujuze.
 
Huku moshi hakuna sensa mwaka huu au? Maana hata hakuna dalili ya majina kutoka.
 
Makarani watarajiwa mkumbuke usaili utakuwa kwa lugha ya kigeni.

lugha ya kigeni my foot, 2metoka leo wala hamna chochote zaid ya kukagua vyeti kuandika mtaa na namba ya simu..inshort kuchoshana wakati yote tulishayajaza kwenye ile form 2liokusanya.
 
Labda wamepoteza baadhi ya 4pm huwez jua
lugha ya kigeni my foot, 2metoka leo wala hamna chochote zaid ya kukagua vyeti kuandika mtaa na namba ya simu..inshort kuchoshana wakati yote tulishayajaza kwenye ile form 2liokusanya.
 
Jamani huku dodoma mbona kimya?kama kunamtu anataarifa yoyote naomba mnijuze.
nasikia kuanzia tarehe 9 sasa tupo kwenye nanenane we vipi hatuwezi kugonganisha activity unataka mkaguzi mkuu atusumbue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom