Nafasi za kazi Bright Step Daycare

Nafasi za kazi Bright Step Daycare

Natafuta pesa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
287
Reaction score
396
Uongozi wa Bright Step Daycare iliyopo Goba unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike na wakiume, waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto.

Usaili utafanyika siku ya kesho jumatatu tarehe 16/01/2023, muda ni saa 2:30 asubuhi, mwalimu afike shuleni akiwa na nakala za vyeti vya kitaaluma na wasifu wake.

JINSI YA KUFIKA:-

Panda gari za kwenda goba, shuka kituo kinaitwa KANISANI, ukifika hapo panda pikipiki shuka kwa kipara au kwa mama chem

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA:- 0623092982
 
Back
Top Bottom