Usahihi: VAT kwenye escrow

Usahihi: VAT kwenye escrow

I agree with you.

Yaani mtu kalipwa pesa halafu zaid ya mwaka mzima tunambembeleza, hii ni double standard ya hali ya juu. Unakuli kiushabiki tu lakini ukweli hauko hivyo. Fanya wewe biashara ya billion tano halafu ukwepe kodi kwa miez sita uone cha moto. Yaani kapewa mzigo wa pesa za maana halaf leo eti ndo ukumbuke kodi baada ya uchunguz wa CAB,PCCB na Kamati ya PAC, inamaana bila ya kuibuliwa hoja hizi kodi ya serikali ilikuwa hamna. Kwa kosa hilo tu la kukwepa kodi alitakiwa awe ameshakamatwa kwa ukwepaji kodi.
 
Nimekuelewa, ndio sababu sikutaka kuendelea mpaka kwanza tukubaliana kuwa ni za umma ama siyo za umma. Je unakubali kuwa IPTL katika transaction hii alikuwa ni wakala wa kukusanya VAT kutoka Tanessco?

Yes, soma report ya CAG/PAC. Kwa ushauri wa AG, BOT an wengine waliohusika kuzitoa pesa hizo walikataa kutii matakwa ya TRA. Walivunja sheria ya VAT (soma sura 32 yote ya Cap 148).

Waliomba BOT wazuie kodi hiyo kabla ya kullipwa IPTL lakini AG kinyume na sheria akakaidi/akaisamehe.

TRA walizuia kwa misingi gani? sababu kama ni kwa misingi ya VAT component they were wrong.
 
Yaani mtu kalipwa pesa halafu zaid ya mwaka mzima tunambembeleza, hii ni double standard ya hali ya juu. Unakuli kiushabiki tu lakini ukweli hauko hivyo. Fanya wewe biashara ya billion tano halafu ukwepe kodi kwa miez sita uone cha moto. Yaani kapewa mzigo wa pesa za maana halaf leo eti ndo ukumbuke kodi baada ya uchunguz wa CAB,PCCB na Kamati ya PAC, inamaana bila ya kuibuliwa hoja hizi kodi ya serikali ilikuwa hamna. Kwa kosa hilo tu la kukwepa kodi alitakiwa awe ameshakamatwa kwa ukwepaji kodi.
CHAZA

Mimi sijasema hatuibiwi, hata hile pesa tumeibiwa, ila sio ya UMA.

sieleweki nini jamani?
 
Last edited by a moderator:
Msiongelee mambo ya hela kinadharia nadharia, ndio maana tunakuwa masikini. Hela ni Hela. Hela iliyopaswa kwenda IPTL hata kama kuna VAT ni hela ya IPTL.
Hapa unapotosha. Kwa misingi ya VAT, IPTL ni wakala(agent) wa TRA/serikali. Wakala akikusanya pesa kwa niaba ya principal wake, pesa hizo ni mali ya principal wake. Hii ni mantiki ya kawaida kabisa mkuu. Ndio maana sasa hivi kuna hata machine za EFD kuiwezesha TRA, pamopja na mambo mengine, kuona kiwango cha VAT kinachokusanywa na mawakala (wafanyabiashara au makampuni yaliyosajiriwa kwa VAT) wake.
 
Mkuu SMU. kuna madhara ya watu kuwa wataalamu wa vitu wasivyovijua......

VAT inakatwa katika jumla kuu ya malipo. Tanesco wangewezaje kujua VAT kama bado hawakuwa na hakika ya kiwango cha pesa walichotakiwa kulipa IPTL? Kumbuka kodi ni ''percentage ya total amount'' na wala sio flat rate!!!
Kwa kifupi hata kama TANESCO wangelipa shilingi 10 kwa IPTL ndani yake ipo kodi ya V.A.T

Jambo la pili, kwa kuruhusu pesa kutoka ina maana kuwa TANESCO wanakubaliana na kiwango cha capacity charge walichotozwa na wanachotozwa, kwa hiyo wameamua kesi wenyewe kwa hasara yao.

Bado haoni kuwa hapo kuna hujuma imefanyika?

Ninachoweza kusema ni kuwa huitaji kuwa vyama vya upinzani kuona hili. Hii ganji iliyotoka ni faida ambayo iptl wameipata kwa kutoza capacity charge kubwa.
Hela ya biashara inapogawiwa kama gawio la faida kwa wanahisa wenye akili lazima wahoji?

Escrow account ilifunguliwa ili Tanesco iweke pesa ilizokuwa inadaiwa na IPTL kila mwezi wakisubiria upatanisho/hukumu. Cha muhimu kujuiliza ni kama invoice iliyokuwa inapelekwa Tanesco kila mwezi ilikuwa inajumuisha malipo ya VAT. Kwa kawaida inatakiwa kuwa hivyo. Kama ndivyo basi TRA ilitakiwa idai kutoka IPTL VAT kadiri ya invoice zilizohusisha pesa za Escrow Account.

Kuhusu kusitisha kesi nina maoni tofauti kidogo. Kampuni ya Mkono and Company Advocates imetumika sana kuifilisi Tanzania. Huyu mzee hana huruma na Tanzania kama vile watu wanvyoamini. Nadhani Tanesco walifanya mahesabu tu na kuona kuwa afadhali wakubali yaishe kuliko kumlipa Nimrod Mkono. Sijui wangapi mnakumbuka kuwa Nimrod Mkono alichota kiasi cha USD 80 million kutoka BOT kwenye kesi ya Valambhia.
 
TANESCO kama shirika la UMMA ilitakiwa wakati wanalipa IPTL ilibidi wa WITHOLD TAX husika na kuipeleka TRA.
Hawakutakiwa walipe kiwango chote IPTL kikiwa na VAT.

Wewe sasa unaharibu na inaonekana hauhui tofauti ya withholding tax na VAT, wakati mwingine inatosha tu kusoma comments za wenzako, siyo lazima upost kama huna uhakika na unachopost.
 
Mgogoro ulitatuliwa kwa taratibu walizojiwekewa kwenye kikao kunduchi beach hoteli. wewe unapaswa kuwauliza Tanesco, kama walikuwa hawakubaliani na invoices ni kwa nini walikuwa wanapeleka hela escrow, Upumbavu wao uko hapo tu.

muda wote walikuwa wanalalamika na kuomba pesa serikali za kujiendesha lakini wanakwenda kuweka pesa in deposit bot, hizo ni akili au matope? wao hawakuwa na accounts za kuweka hizo pesa? au walikuwa na excess liquidity?

Wasingeruhusiwa kisheria kuweka pesa wanayodaiwa kwenye account zao wenyewe ndiyo maana Escrow Account ikafunguliwa.
 
with all this understanding, what makes you think those funds were public funds? peer pressure?
Mimi sina access na information za IPTL/TANESCO. CAG, TAKUKURU na TRA wanayo access. Wao wanasema kulikuwako na VAT. Wewe unasema hata kama ilikuwepo ati siyo mali ya umma ni ya IPTL! Hapa tunalo tatizo.
 
nyie wote msipige kelele ile kinga serikali waliochukua inakila kitu kama tra wanadai waende wakadai hela zao kwisha kama kuna hela za umma ni shs napi waende wakadai kama kuna hela cha ukawa waende wakadai sio mnadanganya watu na kutoa matusi
 
sasa kama unajua Tanesco walipaswa kudai kodi IPTL kwa nini unasema zile pesa ni za UMA? Kumbuka ukisema ni za UMA unamaanisha kwamba hazikupaswa kulipwa kwa IPTL.

Msiongelee mambo ya hela kinadharia nadharia, ndio maana tunakuwa masikini. Hela ni Hela. Hela iliyopaswa kwenda IPTL hata kama kuna VAT ni hela ya IPTL.

Wewe unalazimisha eti ni za uma kwa sababu tu neno VAT linatajwa nazo?

Wanaotakiwa kudai kodi kutoka kwa IPTL ni TRA siyo Tanesco.

Pesa hataikiwa ni ya umma kuna ukusanyaji wake. Kuna wakati watu wa TRA wanazikusanya wao wenyewe moja kwa moja, hasa pale zamani. Kwenye suala la VAT wakusanyaji ni wauzaji amabo wasajiliwa kukusanya hiyo kodi. IPTL na Tanesco wasesajiliwa kukusanya VAT wanapotoa huduma zao na kulipa VAT wanapofanya manunuzi au kulipia huduma.

Ukweli ni kuwa sheria za TRA kuhusu VAT zipo wazi kabisa kuwa pesa za VAT zinazokusanywa na wafanyabiashara ni za TRA n si vinginevyo. Hiyo ndiyo sheria inavyosema labda tuitengue leo kwenye suala hili.
 
Ndugu watanzania wote (in the voice of profesa Muhongo)

Tuache Jaziba, tuache kulazimisha mapenzi yetu kutimia,tuwe na subra, tujipe nafasi ya kutafakari na kupima mambo haya, tujiweke katika nafasi ya kuwatendea maadui zetu vile ambavyo sisi tungependa kutendewa.

Na zaidi, tufuate ushauri alioutoa Mheshimwa Lusinde jana jioni bungeni, kwamba, "TUSEME KWELI ILI TUFANYE MAAMUZI YA HAKI"

KUHUSU PESA ZA ESCROW KUWA NI ZA UMA ETI KWA SABABU KULIKUWA NA KODI YA VAT NDANI YAKE
Ndugu watanzania wote.

Huu ni upotoshaji, ni uongo na uzushi ambao tunapaswa kuukataa, jambo lolote linalofanywa kwa uovu mwisho wake huwa sio mwema.

Report iliyowasilishwa na PAC katika bunge letu, japo ilitegemewa kuwa msingi wa kulipatia haki Taifa letu, imekuwa ni chanzo cha aibu kwa Taifa zima, hutuwezi kupigania maslahi ya Taifa letu kwa kusema uongo, kuficha ukweli kwa wingi wa meneno yaliyopindishwa pindishwa na kupambwa kwa lugha za ghirba.

UKWELI NI HUU
Kama ambavyo mahusiano ya IPTL na TANESCO yanajurikana, hawa walikuwa na bado wanaendelea kufanya biashara pamoja, IPTL akiwa muuzaji na TANESCO Mnunuzi.

Bila kuzingatia namna wanavyofikia bei ya bidhaa husika, ni wazi IPTL imekuwa ikiipatia INVOICES Tanesco, Ili Tanesco Iilipe IPTL.

Sheria yetu ya kodi ya VAT ya mwaka 1997, imetoa maelekezo yanayowapa wafanyabishara FURSA ya kukusanya kodi ya VAT kutoka kwa wanunuzi wa bidhaa zao, kwa niaba ya TRA.

Kutokana na vigezo vilivyowekwa katika sheria husika, IPTL nao ni wakara wa TRA katika kukusanya kodi ya VAT kutoka Tanesco.

Kutokana na mahusiano ya kibishara kati ya TANESCO NA IPTL, TANESCO Haina mamlaka mpaka leo ya kuchukua maamuzi ya kutoilipa IPTL VAT eti ipeleke VAT hiyo TRA yenyewe.

Hivyo basi, hata katika PESA zilizokuwa kwenye ACCOUNT YA ESCROW, TANESCO walitekeleza wajibu wao wa kisheria na kibiasha kuziweka hela hizo kwenye account hiyo zote za IPTL pamoja na VAT (Ambazo kimsingi zote ni za IPTL), Na wakati malipo yanafanyika kutoka account hiyo, YALIFANYIKA KWA USAHIHI KABISA Kwa PESA zote KULIPWA kwa IPTL. Kwa sababu ni wajibu wa IPTL kukusanya VAT kutoka Tanesco.

TRA walipaswa kuidai IPTL pesa hiyo ndani ya mwezi mmoja baada ya IPTL kuipatia INVOICES Tanesco, bila kujali kama IPTL wanaubishani na Tanesco juu ya usahihi wa INVOICE AMOUNTS au la?.

Huu ndio utaratibu, sio mpya, na wote tunaufahamu, jana nimetoa mfano ambao haukueleweka, ukienda dukani kununua bidhaa, unaambiwa bei ya bidhaa ambayo ndani yake kuna VAT, ukifanya maamuzi ya kununua unamlipa muuzaji pesa zote, NA KUANZIA HAPO ZINAKUWA ZAKE na wewe bidhaa inakuwa yako rasmi.
Swala la wafanyabishara kutopeleka makusanyo ya VAT TRA ni tatizo lingine.

HIVYO BASI
Kama sababu ya msingi ya kudai kwamba zile pesa ni za UMA ni sababu ya VAT COMPONENT KWA ZILE HELA, HUO NI UONGO NI UPOTOSHAJI.

Nawasilisha.

Tatizo humu JF vichaa wamekuwa ni wengi nowdays,

tukianzia hapo hapo kwenye mfano wako wa kitoto wa kufananisha mauziano baina ya Tanesco na iptl kuhusu umeme na mauziano ya choroko unayoyafanya dukani kwenu,

Mtu mwenye akili zake timamu hawez tu kununua bidhaa dukani pasi na kudai risiti,lazima udai risit ili ujihakikishie kuwa haki yako ya kulipa kodi huyo muuzaji kakupatia ama la.,

HOJA KUUU HAPA NI KWAMBA IPTL NA TANESCO WALIKUWA BADO HAWAJAMALIZA DISPUTES ZAO,IWEJE WATU WAENDE WAKAIDHINISHE KUTOLEWA KWA FEDHA HIZO KABLA YA MGOGORO KUISHA??

IPTL ANATOA HUDUMA KWA TANESCO SAWA,NA TANESCO ANANANUA NA KUTOA PESA,KWANN SASA PESA HIYO WASIPEWE DIRECT IPTL NA BADALA YAKE IKALIPWE KWENYE ESCROW ACCOUNT??HIYO NI UTHIBITISHO KWAMBA ILE PESA NI YA UMMA NA INASUBIRI KWISHA KWA DISPUTES BAINA YA TANESCO NA IPTL KISHA IDHINI HALALI YA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA KUTOKA PESA IPATIKANE KWA KUJITOSHELEZA KILA UPANDE UNAPATA STAHIKI YAKE,IKIWAMO V.A.T NA PESA HALISI..,

ILE PESA YA ESCROW ILIKUWA YA MGOGORO,NA INFACT KULIKUWA KUNA PESA YA UMMA AMBAYO NI V.A.T INAYOPASWA KWENDA T.R.A HIYO NI PESA YA UMMA.

NA INGEPASWA KWENDA T.R.A PALE AMBAPO MGOGORO UNGEMALIZIKA KISHERIA NA KILA UPANDE KUPATA STAHIKI YAKE,

HIYO SASA YA KUFANYA MAAMUZ HUKO KUNDUCHI BEACH YA KUITOLEA MAAMUZ YA KUITOA PESA HIYO KIHUNI NDIPO KULIKOPELEKEA SASA HASARA YA KUKOSA PESA HIYO YA KODI NA PESA HALALI NYINGINE AMBAYO ACTUALLY TUNGEAIPATA BAAADA YA HIZI PANDE MBILI KUKAA PAMOJA NA KUMALIZANA KWA HAKI,

ILE PESA NI YA UMMA.
 
Ukiambiwa leo kwamba IPTL inaidai TRA pesa za VAT, utajisikiaje?

Inawezekana kabisa IPTL kuidai TRA pesa za VAT. Hili linatokana na mfumo wa ulipaji kodi waliojiwekea hawa watu wa TRA. IPTL inatakiwa iwalipe IPTL pesa za VAT walizokusanya lakini irudishiwe kutoka TRA VAT ambayo IPTL imelipa kwa kufanya manunuzi kama mafuta, vipuri, n.k.

Kwa hiyo hatuwezi khukumu sasa hivi.
 
Mwigulu ameshajibu hilo sasa hivi. Ndani ya pesa ya IPTL kuna kodi ya VAT. TRA wanashughulika na hilo

Escrow account ilifunguliwa ili Tanesco iweke pesa ilizokuwa inadaiwa na IPTL kila mwezi wakisubiria upatanisho/hukumu. Cha muhimu kujuiliza ni kama invoice iliyokuwa inapelekwa Tanesco kila mwezi ilikuwa inajumuisha malipo ya VAT. Kwa kawaida inatakiwa kuwa hivyo. Kama ndivyo basi TRA ilitakiwa idai kutoka IPTL VAT kadiri ya invoice zilizohusisha pesa za Escrow Account.

Kuhusu kusitisha kesi nina maoni tofauti kidogo. Kampuni ya Mkono and Company Advocates imetumika sana kuifilisi Tanzania. Huyu mzee hana huruma na Tanzania kama vile watu wanvyoamini. Nadhani Tanesco walifanya mahesabu tu na kuona kuwa afadhali wakubali yaishe kuliko kumlipa Nimrod Mkono. Sijui wangapi mnakumbuka kuwa Nimrod Mkono alichota kiasi cha USD 80 million kutoka BOT kwenye kesi ya Valambhia.
 
Tatizo humu JF vichaa wamekuwa ni wengi nowdays,

tukianzia hapo hapo kwenye mfano wako wa kitoto wa kufananisha mauziano baina ya Tanesco na iptl kuhusu umeme na mauziano ya choroko unayoyafanya dukani kwenu,

Mtu mwenye akili zake timamu hawez tu kununua bidhaa dukani pasi na kudai risiti,lazima udai risit ili ujihakikishie kuwa haki yako ya kulipa kodi huyo muuzaji kakupatia ama la.,

HOJA KUUU HAPA NI KWAMBA IPTL NA TANESCO WALIKUWA BADO HAWAJAMALIZA DISPUTES ZAO,IWEJE WATU WAENDE WAKAIDHINISHE KUTOLEWA KWA FEDHA HIZO KABLA YA MGOGORO KUISHA??

IPTL ANATOA HUDUMA KWA TANESCO SAWA,NA TANESCO ANANANUA NA KUTOA PESA,KWANN SASA PESA HIYO WASIPEWE DIRECT IPTL NA BADALA YAKE IKALIPWE KWENYE ESCROW ACCOUNT??HIYO NI UTHIBITISHO KWAMBA ILE PESA NI YA UMMA NA INASUBIRI KWISHA KWA DISPUTES BAINA YA TANESCO NA IPTL KISHA IDHINI HALALI YA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA KUTOKA PESA IPATIKANE KWA KUJITOSHELEZA KILA UPANDE UNAPATA STAHIKI YAKE,IKIWAMO V.A.T NA PESA HALISI..,

ILE PESA YA ESCROW ILIKUWA YA MGOGORO,NA INFACT KULIKUWA KUNA PESA YA UMMA AMBAYO NI V.A.T INAYOPASWA KWENDA T.R.A HIYO NI PESA YA UMMA.

NA INGEPASWA KWENDA T.R.A PALE AMBAPO MGOGORO UNGEMALIZIKA KISHERIA NA KILA UPANDE KUPATA STAHIKI YAKE,

HIYO SASA YA KUFANYA MAAMUZ HUKO KUNDUCHI BEACH YA KUITOLEA MAAMUZ YA KUITOA PESA HIYO KIHUNI NDIPO KULIKOPELEKEA SASA HASARA YA KUKOSA PESA HIYO YA KODI NA PESA HALALI NYINGINE AMBAYO ACTUALLY TUNGEAIPATA BAAADA YA HIZI PANDE MBILI KUKAA PAMOJA NA KUMALIZANA KWA HAKI,

ILE PESA NI YA UMMA.

Mgogoro wa Capacity charge kati ya Tanesco na IPTL ulikuwa ni baina yao wawili, maelezo ya Profesa Muhongo jana yanasema Tanesco HAIJAWAHI WAKATI WOWOTE ULE MPAKA WAKATI ULE ANAONGEA BUNGENI, Kufungua kesi mahala popote pale wakilalamikia capacity charges.

Makubaliano ya kuweka hela kwenye Escrow yalikuwa kati ya Tanesco na IPTL, Bot akawa muhifadhi wa fedha, wakakubalina pesa zinatolewa kwa jinsi watakavyokuwa wanakubalina katika ubishani wao.

Tanesco wakakaa kunduchi beach, wakaona walipe tu hizo hela zote.

Mambo ya mahakamani ni uzushi, Mahakamani kulikuwa na kesi ya juu ya kiwango cha uwezekezaji, ni Kwa nini MKONO alikwenda kufungua kesi ya kiwango cha uwekezaji wa IPTL badala ya CAPACITY charge kama alivyoshauri anajua yeye na Tanesco.

Tanesco walikuwa wawakilishi wetu katika hili, na maamuzi yao yote ni kwa niaba yetu, kwamba wanafanyia maamuzi kunduchi au wapi hizo discretion tumewapatia pia.
 
Mwigulu ameshajibu hilo sasa hivi. Ndani ya pesa ya IPTL kuna kodi ya VAT. TRA wanashughulika na hilo

Na yeye atakuwa anasukumwa na mihemuko ya kumuokoa Pinda.

Pinda hayuko kwenye Tishio lolote lile, ni hofu tu isiyo na sababu, Katika wanasisa wote, naona ni Muhongo tu ndio anamisuri yenye nguvu tumboni.
 
  • Thanks
Reactions: KVM
Mgogoro wa Capacity charge kati ya Tanesco na IPTL ulikuwa ni baina yao wawili, maelezo ya Profesa Muhongo jana yanasema Tanesco HAIJAWAHI WAKATI WOWOTE ULE MPAKA WAKATI ULE ANAONGEA BUNGENI, Kufungua kesi mahala popote pale wakilalamikia capacity charges.

Makubaliano ya kuweka hela kwenye Escrow yalikuwa kati ya Tanesco na IPTL, Bot akawa muhifadhi wa fedha, wakakubalina pesa zinatolewa kwa jinsi watakavyokuwa wanakubalina katika ubishani wao.

Tanesco wakakaa kunduchi beach, wakaona walipe tu hizo hela zote.

Mambo ya mahakamani ni uzushi, Mahakamani kulikuwa na kesi ya juu ya kiwango cha uwezekezaji, ni Kwa nini MKONO alikwenda kufungua kesi ya kiwango cha uwekezaji wa IPTL badala ya CAPACITY charge kama alivyoshauri anajua yeye na Tanesco.

Tanesco walikuwa wawakilishi wetu katika hili, na maamuzi yao yote ni kwa niaba yetu, kwamba wanafanyia maamuzi kunduchi au wapi hizo discretion tumewapatia pia.

Nimrod Mkono alitaka tatizo kati ya Tanesco na IPTL lidumu milele ili afaidike. Kumbukeni alichokifanyia BOT kwenye kesi ya Valambhia.
 
Back
Top Bottom