Usahihi: Mazungumzo yanaendelea vizuri

Usahihi: Mazungumzo yanaendelea vizuri

Makene, CHADEMA nyie ni waongo kuanzia wewe wa kwenye nyasi hadi Mtei. Mliwahi kukanusha haya kuwa siyo ya kweli kumbe ni kweli, wizi mtupu
IMG-20150714-WA0006.jpg IMG-20150714-WA0006.jpg IMG-20150714-WA0006.jpg
 
Ahsante kamanda, makene tunasubiri Raisi Wa tano Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,
 
Wakati mwingine usikubali tu kila knachosemwa na Makene. Yeye ni mtoto mdogo sana ndani ya CHADEMA. Mkakati wa Lowasa kuhamia CHADEMA upo kwenye High Profile

..... Yeye aje tu ila asigombee urais. Kwanza inabidi akija chadema ajisafishe suala la ESCROW
 
Wapumbavu wa kijitonyama na Lumumba wanajifanya waenezi Wa shetani...
 
Asante kwa taarifa Tumaini Makene watanzania wana hamu kujua mgombea uraisi kupitia #UKAWA nawaombea kwa Mungu viongozi wa #UKAWA Mungu awaongoze watoke wakiwa pamoja kwa faida ya nchi yetu.
#UKAWA NDO TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA
 
Last edited by a moderator:
Pia kuna taarifa zinaenea kuwa CUF wamejiondoa UKAWA kwa kushindwa kuafikiana juu ya kugawana majimbo na nafasi ya urais, ikoje hii kamanda?
Acha kuwaendekeza magamba wewe na story zao za uongo.
Wanaishi na kuamini ktk uongo tu ndio maana nchi hii inayumba kiuchumi, zao kupiga deal na kuongopa.
 
Back
Top Bottom