Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Hatupigagi majunju huku wala kupunga majini kama LumumbaWakati mwingine usikubali tu kila knachosemwa na Makene. Yeye ni mtoto mdogo sana ndani ya CHADEMA. Mkakati wa Lowasa kuhamia CHADEMA upo kwenye High Profile