MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Aksante sana Tumaini Makene hii taarifa ni muhimu sana katika kuweka facts sawa.
Last edited by a moderator:
Haya ni mashairi ya alinacha. Ufundi wa lugha wa makene anayetegemea kula kwa kupindisha ukweli wa mambo
Kama mkimuacha Lowasa msijidanganye na kudanganya watu! Uraisi ni ndoto kwa upinzani,wala sipotezi muda wangu kwenda kupigia kura upunzani bora nibaki home tu.
Mtanange umepamba moto CUF wamegoma kuburuzwa
Makene, CHADEMA nyie ni waongo kuanzia wewe wa kwenye nyasi hadi Mtei. Mliwahi kukanusha haya kuwa siyo ya kweli kumbe ni kweli, wizi mtupu
View attachment 267977View attachment 267977View attachment 267977
Naona ccm wanakutumia vibaya sana
Asichofahamu Makene na anachofahamu Dr Slaa ni kwamba Mtei, Ndesamburo, Mbowe na Mbatia ni TeamLowasa hivyo mbele ya Lowasa Dr slaa si lolote. Kwahiyo yule Lizaboni yawezekana kabisa yuko sahihi.
Vyovyote usemavyo ukweli unabaki palepale Slaa hana uwezo wa kuishinda Ccm. Kama unabisha subiri uone atakavyoangukia pua. Hanajipya la kuwaambia wa TZ. Uzee nao umemmaliza kabisaa.Nyie ndio masalia ya Team Lowassa mliojeruhiwa juzi Dom??? poleni sana
Nyie si mmeshampata mgombea wenu na mnasema anakubalika kama maji ya uhai, na leo mnamtambulisha kwa wakazi wa Dar es Salaa!? Sasa mnafuata nini huku badala ya kumtambulisha mtu wenu!?Haya ni mashairi ya alinacha. Ufundi wa lugha wa makene anayetegemea kula kwa kupindisha ukweli wa mambo
Ndeti Urais ni kichwa au mkia?....tehe....teh....teh! UKAWA walianza kula mkia wenzao CCM ndo walianza kula kichwa....kwi....kwi....kwi!!Hamna kitu kama hicho yaani wale ng'ombe wote mkia uwashinde.
Ndeti Urais ni kichwa au mkia?....tehe....teh....teh! UKAWA walianza kula mkia wenzao CCM ndo walianza kula kichwa....kwi....kwi....kwi!!
Asichofahamu Makene na anachofahamu Dr Slaa ni kwamba Mtei, Ndesamburo, Mbowe na Mbatia ni TeamLowasa hivyo mbele ya Lowasa Dr slaa si lolote. Kwahiyo yule Lizaboni yawezekana kabisa yuko sahihi.
Vyovyote usemavyo ukweli unabaki palepale Slaa hana uwezo wa kuishinda Ccm. Kama unabisha subiri uone atakavyoangukia pua. Hanajipya la kuwaambia wa TZ. Uzee nao umemmaliza kabisaa.