Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

lowasa atakuwa msafi CDM kwa sababu alipokuwa CCM alibanwa na mfumo wa chama chake cha zamani but sasa atafanya kazi kwa uhuru
 
Hivi chato kule maisha yakoje??au umepaona monduli tu,,,,kwa vigezo vyako magufuli hafai pia,,,

magufuli hajawahi kusema anauchukia umaskin lakn lowasa anatamka anauchukia umaskin wakat kuna wamasai kule wanakunywa maji ya bwawa pamoja na ng'ombe wao wakat yeye huku anamwaga mabilion kwenye vyama ili aingie ikulu. Kama kweli anauchukia umaskin kwann ameshindwa kuwajengea hata shule au kuwachimbia kisima watu wake kwa kutumia hayo mapesa anayowapa akina mbowe?
 
Umesoma gazeti la leo lakini?
Raia
 
Huu ni uzandiki wa kuzima moto wa mafuta kwa maji. Tamko la kihuni hata sahihi hakuna.mtu yeyote anaweza kujiandikia tu ivo
 
Baba Baba Dr Slaa Waziri Mkuu wa Tanzania ,Mbatia Elimu Na Sayansi Lipumba fedha Na mipango
 
Duuuuuuh uuuuuwiiiiii nilikuwa nimesha baaa Mungu inusuru Chadema katika ukombozi wa hii nchi
 
Mungu Ibariki Tz, Mungu ibariki UKAWA, Mungu wabariki Lowassa, Slaa, Mbowe, Lipumba, Mbatia, Makaidi hata na Zitto Kabwe akijiunga ni vyema tuu, Hata Cheyo tusimwache ni mpenda mabadiliko.

natamani usajili unaofuata wawemo Warioba, Mwandosya, Kingunge, Zitto, Cheyo, Saim A. Salim, Nchimbi, Simba, NK. Mungu fungua njia, wape ujasiri kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu
 
Poverty is a spirit, i hate it. Lowasa, that is what you need to work on.
 
Issue kama hii ya kuandika,Dr.slaa anatakiwa azungumze,kuandika si ata mimi naweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…