Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Kuna habari zinazovuma kutoka kwa watu mbalimbali wasiokua na taarifa sahihi kua Dr. Slaa. Habari. Sahihi nikua Dr. Slaa yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.

Chadema Kwanza

~~~~~~~~~~~~
HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya chadema, nccr, nld, cuf wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa ukawa. Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama ukawa ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA KWA YULE MSHABIKI"

By. Dr. Wilbroad Slaa (katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo-chadema)
 
Dr.Slaa bado yupo Chadema kwa kuwa hana pa kwenda, kushoto kuna Zitto kulia yupo Bin Mrisho sasa aende wapi? Huyu Mzee anafanana sana na Mzee Mangula, kwenye Maadili na misingi ya Kazi hawana mchezo kabisa, kazi yao ni kuimarisha Vyama kwenye Mafanikio hata jina hatajwi. Mzee Mangula alifukuzwa Ukatibu Mkuu Dakika 45 baada ya Jakaya kupewa Uenyekiti wa Ccm Taifa 2006 Dodoma, akagombea Uenyekiti wa Mkoa Iringa wakamnyima wakampa Yule Jah People eti ndo awe Mwenyekiti wa Mkoa mtu kaishia la sita C!,2010 baada ya kutangazwa washindi kwa Mbinde sana pamoja na Magoli ya mikono na Makalio ndo wakaenda kumchukua Mzee wa watu Iringa kwenye Mashamba ya Nyanya ili aje awasaidie . Slaa nae yatamkuta Muda si Mrefu, bora ukutane na Shetani kuliko hawa watu wanaoitwa wanamtandao!
 
Dr. Slaa si mjinga kama baadhi yenu mnavyodhania, na kwa taarifa yenu hakuna alichokisema jana Mbowe ambacho Dr hajui na isitoshe si mroho wa madaraka kihivyo...... kiustaarabu kabisa amempisha Lowasa ili Tanzania iondoke chini ya mkoloni mweusi CCM na mifumo yake mbovu isiyojua kuwajibishana.
 
Dr.Slaa bado yupo Chadema kwa kuwa hana pa kwenda, kushoto kuna Zitto kulia yupo Bin Mrisho sasa aende wapi? Huyu Mzee anafanana sana na Mzee Mangula, kwenye Maadili na misingi ya Kazi hawana mchezo kabisa, kazi yao ni kuimarisha Vyama kwenye Mafanikio hata jina hatajwi. Mzee Mangula alifukuzwa Ukatibu Mkuu Dakika 45 baada ya Jakaya kupewa Uenyekiti wa Ccm Taifa 2006 Dodoma, akagombea Uenyekiti wa Mkoa Iringa wakamnyima wakampa Yule Jah People eti ndo awe Mwenyekiti wa Mkoa mtu kaishia la sita C!,2010 baada ya kutangazwa washindi kwa Mbinde sana pamoja na Magoli ya mikono na Makalio ndo wakaenda kumchukua Mzee wa watu Iringa kwenye Mashamba ya Nyanya ili aje awasaidie . Slaa nae yatamkuta Muda si Mrefu, bora ukutane na Shetani kuliko hawa watu wanaoitwa wanamtandao!

Duh. Siasa ni noma
 
Nyie endeleeni kujitutumua... Mnakumbatia bom wakat tayar mmeshatoa fuse sasa ngoja liwalipukie ndo mjue.
 
Duh. Siasa ni noma

Acha kabisa, 2010 unaweza ukaamini Mtu kama Abdulrahman Omar Kinana alikuwa anafanya kazi ya kuratibu kampeni za Urais chini ya Msuka Dred, Mla ghanja Miraji pale Upanga, Mzee na Ukanali wake wote cheo chake cha Uenyekiti wa Kampeni tangu 1995 lakini chini ya hili genge wakamlazimisha kufanya kazi chini ya Second Born wa Le Prof??, 2005 May 4 baada ya Kushinda Dodoma walihamishia Shughuli zote za kampeni na Uratibu wa Kampeni kweny Ofisi zao binafsi wakamuacha Mangula anasoma magazeti tu?
 
inaonekana hakuna mwenye habari sahihi juu ya Dr Slaa, hawa wanaosema wanajua na kwamba anaendelea na majukumu yake kama kawaida hawana taarifa, mimi ninayo ambayo ni tofauti na hiyo lakini sio mahali pangu pa kusema, mtafuteni Dr wa uhakika kama mnataka kujua kinachoendelea kwa upande wake na kama mmeshamaliza kusherehekea habari ya vimbwanga vipya
 
asante kwa taarifa kamanda Chademakwanza naona magamba wamechanganyikiwa kwa mziki Wa chadema

CCM ni hatar sana, intellijence ya chadema imeshindwa kugundua kitu..
Kinachofanyika ndan ya chadema ni sawa na ule mgogoro wa USSR na USA pamoja na upandikiz wa rais Golbachev
 
Last edited by a moderator:
Jamani mnaoipenda Tanzania . Nimepokea a personalmessage from my friends na Mzee Dr. Salaa . Baada ya message yake I called him we spoke for about 12 minutes . Kanieleza yake lakini naomba apewe muda . Mzee Slaa hana shida na Urais maana he is a leader . Mzee amechukizwa a watu kufungua Twitter account using his name . Yote ambayo yamekuwa yanasemwa na kumhusisha ni uzushi . Yes mzee anaona tatizo lakini hajaamua kuondoka Chadema . Mzee anatafakari akiwa within Chadema . Mzee Slaa is a philosopher sote tunakubaliana akiongea ama kuandika one need to take time kumwelewa . Matatizio yaliyopo na yeye ni Mzee atakabiliana naye . Kweli kuna shida na siwezi kusema hapa ila moja kasema acheni kumwekea maneno mdomoni . Account za twitter si zake na anachukia ujinga wa watu wachache kuendeleza ujinga wao mtandaoni . Mwenye kuelewa na aelewe na punguzeni uchonganishi .
 
Mchumia tumbo tu View attachment 272109
 
CCM ni hatar sana, intellijence ya chadema imeshindwa kugundua kitu..
Kinachofanyika ndan ya chadema ni sawa na ule mgogoro wa USSR na USA pamoja na upandikiz wa rais Golbachev

Genge la wakabaji limehamia CDM watajuta.
 
Jamani mnaoipenda Tanzania . Nimepokea a personalmessage from my friends na Mzee Dr. Salaa . Baada ya message yake I called him we spoke for about 12 minutes . Kanieleza yake lakini naomba apewe muda . Mzee Slaa hana shida na Urais maana he is a leader . Mzee amechukizwa a watu kufungua Twitter account using his name . Yote ambayo yamekuwa yanasemwa na kumhusisha ni uzushi . Yes mzee anaona tatizo lakini hajaamua kuondoka Chadema . Mzee anatafakari akiwa within Chadema . Mzee Slaa is a philosopher sote tunakubaliana akiongea ama kuandika one need to take time kumwelewa . Matatizio yaliyopo na yeye ni Mzee atakabiliana naye . Kweli kuna shida na siwezi kusema hapa ila moja kasema acheni kumwekea maneno mdomoni . Account za twitter si zake na anachukia ujinga wa watu wachache kuendeleza ujinga wao mtandaoni . Mwenye kuelewa na aelewe na punguzeni uchonganishi .
Asante mkuu. Najua viongozi wa chadema ni makini na wenye msimamo wa pamoja. Kabla ya kumkaribisha lowassa kulikuwa na vikao vya kutosha. Na mtu aliezingatiwa zaidi ushauri wake ni Dr. Apewe hata uwaziri mkuu
 
Sipati picha mwaka huu,hapa Lowassa,kule mbatia huku Mbowe na Pale Lipumba kweli umoja ni ushindi.
 
Back
Top Bottom