USAHIHI; Dr. Bashiru Ally usipotoshe umma

USAHIHI; Dr. Bashiru Ally usipotoshe umma

Hivi Bashiru naye ni Dr.!!!!!!????!!!!. Hovyoo!
Kwa hapa Tz ukiwa mwanaccm kupata udogita ni rahisi kama kunawa, nashangaa Mwinyi haitwi dogit ila nalbuka alipewa pale Kibaha kwenye uwanja wa Open Univeersity kwenye mahafali ya 2010.
 
Hakuna kitu chenye thamani duniani kama uhai.
na tunaambiwa uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu, Hivyo hakuna mtu awezaye kumsifu mtu anaetaka kutoa uhai wake.
 
dawa ya lisu ni kumfata huko huko kwa wakolon na kumtia pingu za miguu na mikono kumdeport nyumban
 
dawa ya lisu ni kumfata huko huko kwa wakolon na kumtia pingu za miguu na mikono kumdeport nyumban
Wanapokusaidia mikopo na misaada ya kujazia bajeti na kuwekeza katika vi-wonder (sasa tumefikia 3000+), wanaitwa "wadau wa maendeleo", "wawekezaji".
Wanapojaribu kukusaidia kukupa somo dogo tu la utawala bora ili 'maendeleo' ya vitu yaongeze thamani katika ustawi wa ubinadamu, unakuwa mbogo na kuanza kutafuta kila aina ya jina: "wakoloni", "mabeberu".
Lumumba kuweni na aibu!
 
Assange alitoa classified information ambazo ni top secret against mataifa makubwa na kuathiri economic diplomacy. Pia alikiuka sheria ya usalama wa taifa

Lissu hajakiuka sheria yoyote wala hakuna kiapo alichovunja!

Mfano wako ni wa kizwazwa na kinyangema, professorial rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app

dah kwanini usichague neno moja mkuu,

unapaswa uandike zwazwa, nyangema na professorial rubbish ili uridhike?

unaweza kunipa uhusiano wa nilichoandika na neno professorial rubbish?

unakoelekea hata mke wako akikukosea utamwambia professorial rubbish maana hujui maana yake

hadi hapo ndugu Nyakageni unaweza kunambia kwanini nisikuite Fala?
 
Umeongea ukweli kua Wenye akili wanaangalia miaka 100 ijayo.
Ila unatakiwa kujua kua hiyo miaka mia moja bila watu ni bure.
Na kiongozi asiyejali watu wake anasemaje analijali taifa?
Mfano, Tanzania watu wanatekwa, wanapotea, wanauawa na wengine wanapona kuuawa na risasi mchana kweupe na hakuna hatua zinazochukuliwa juu ya wahusika, unasemaje kua kiongozi aliepo anajali watu. Kuna usemi unasema hivi " mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" hivi ingekua ni yeye wanataka kumpiga risasi asingeamulu vyombo viwasake wahusika.
Wenye kuelewa tunajua kinachopiganiwa na viongozi si kwa ajili ya wananchi ila ni nguvu ya madaraka.
Lisu anachofanya sio Kua anapotexa muda na kama angekua anapoteza muda hao wanaojiita wazalendo wasingekua wanahangaika kujitokeza hadharani kujibu. Ila kina faida kwa ajili ya Taifa kwa miaka mia moja ijayo. ( kama nae anachopigania si kwa ajili ya tamaa ya madara yake ila ni tamaa ya madaraka ya wananchi)
Welewa tunajua kua sio wanatetea Taifa lisihaibiki mana wao ndo wameliharibu taifa , wanatetea kiti walichokalia.
Linapokuja swala la madaraka hakuna aliyesalama hata hawe mama, mtoto, mke na mnaojiita wafuasi wao mnaacha kua wafuasi wa watu. Hata kama ulikua unamtukia kwa uadilifu siku ukija kugusa maslahi yake ndo utaijua nguvu ya madaraka.( utatolewa sadaka)
Heri uwe mtumwa wa watu sio kua mtumwa wa Wenye mamlaka hasa pale mamlaka yanapokosekana kwa wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu umeandika mawazo yangu kwa usahihi kabisa. Na huo ndo ukweli halisi hapa.
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Hata wewe unachodhani ni ukweli wengine tunakiona ni uongo. Kwa hiyo Lisu amekuwa Yesu, kwamba afe ili Taifa miaka 10-100 uchumi ukue? Tumia akili.
 
Hakuna swali ambalo malumumba hawalipendi kama hili swali lako mkuu!

Unaweza kutwangwa hata risasi kisa Hilo swali
Bashiru Ally aliulizwa na mwandishi wa kibongo kuhusu kusiginwa katiba ya ccm kwa kuwapitisha waliojiuza kugombea tena , bila kura za maoni , Alikunja ngumi hadharani , ataweza HARDTALK ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tumesmikisa ndugu Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM akihutubia kwa hasira na hisia kali sana juu ya kile anachodai ni kudhalilisha nchi kimataifa kwa ziara anazo fanya Tundu Lissu, ameyasema hayo akihutubia ktk sherehe ya miaka 42 ya kuzaliwa CCM.

Itakumbukwa Mh Tundu Lissu alifanyiwa kitendo cha kinyama cha kushambuliwa kwa siraha za moto sept 7,2017 mjini Dodoma ambapo aliumizwa vibaya baada ya kukoswakoswa kufa.

Baada ya Lissu kuchukua hatua za kuiambia dunia na watanzania kwa ujumla kile kilichotokea na kutoa shukrani kwa jamii ya kitaifa na kimataifa iliyosaidia kwa hali na mali matibabu yake, sasa kumezuka uongo na unafiki wa kujitapa kwa wanasisasa uchwara kuitetea serikali.

Madai yao ni kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama. Ukweli ni kwamba inaaibika CCM na washirika wake. Tunakutaka Dr Bahiru Ali na washirika wako muache kuchanganya mambo, aibu ya kipigo cha Lissu na watanzania wengine waliopoteza maisha kwa mazingira hayo hayo ya kisiasa.

Taifa halikupat aibu wakati wa kushindwa kutambua wahusika wa mauaji lije kupata aibu kwa kusema waliompiga lisu hawajapatiokana??

Dr Bashiru Ali kwa nini unataka aibu ya ccm na washirika wake iwe aibu ya watanzania? Nikuhakikishie tu kama ulikuwa huna habari ziara za Lissu Ulaya na Marekani tumezipenda mno na tunamshukuru Tundu Lissu kwa kutusemea, Roma Mkatoliki alifanyiwa unyama yaliyotokea na kufuatia pale alipotaka kuujulisha umma tuliyaona.

'MO' alipotekwa na wahuni ambao mpaka leo hawajajulikana tuliona kilichofata pale alipotaka kuujulisha umma.

Aibu yenu isiwe ya taifa, wekeni mambo yenu sawa. Nchi hii imekuwa huru kwa miaka 50 sasa haijafanya lolote la maana mikononi mwa CCM.

Your failure, is yours, don't donate it to tanzanians.
maprofessor na madoctor wenye nyazifa serikalini au ccm huwa akili zao wanazificha wanabaki wakitumia matumbo kufikiri. ukisikia professor propaganda na Dr Bashlri wakijenga hoja zao hazina tafauti na ujagaji hoja wa msukuma au pole wote ni mipasho mwanzo mpaka mwisho. kwao ukweli sio mhimu.
 
Hivi waajiliwa wa serikali wako mia ngapi,maana uchaguzi ukifika tu kura zote za waajiliwa zinakwenda kwa upizani zinazobaki wagawane tuone kama ccm itatoboa 2020.
Maana sidhani kama wafanyakazi bado wanahamu na hii ccm ya hapa kazi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi waajiliwa wa serikali wako mia ngapi,maana uchaguzi ukifika tu kura zote za waajiliwa zinakwenda kwa upizani zinazobaki wagawane tuone kama ccm itatoboa 2020.
Maana sidhani kama wafanyakazi bado wanahamu na hii ccm ya hapa kazi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
2015 bila wizi magu asingetoboa
 
Wengi tumesmikisa ndugu Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM akihutubia kwa hasira na hisia kali sana juu ya kile anachodai ni kudhalilisha nchi kimataifa kwa ziara anazo fanya Tundu Lissu, ameyasema hayo akihutubia ktk sherehe ya miaka 42 ya kuzaliwa CCM.

Itakumbukwa Mh Tundu Lissu alifanyiwa kitendo cha kinyama cha kushambuliwa kwa siraha za moto sept 7,2017 mjini Dodoma ambapo aliumizwa vibaya baada ya kukoswakoswa kufa.

Baada ya Lissu kuchukua hatua za kuiambia dunia na watanzania kwa ujumla kile kilichotokea na kutoa shukrani kwa jamii ya kitaifa na kimataifa iliyosaidia kwa hali na mali matibabu yake, sasa kumezuka uongo na unafiki wa kujitapa kwa wanasisasa uchwara kuitetea serikali.

Madai yao ni kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama. Ukweli ni kwamba inaaibika CCM na washirika wake. Tunakutaka Dr Bahiru Ali na washirika wako muache kuchanganya mambo, aibu ya kipigo cha Lissu na watanzania wengine waliopoteza maisha kwa mazingira hayo hayo ya kisiasa.

Taifa halikupat aibu wakati wa kushindwa kutambua wahusika wa mauaji lije kupata aibu kwa kusema waliompiga lisu hawajapatiokana??

Dr Bashiru Ali kwa nini unataka aibu ya ccm na washirika wake iwe aibu ya watanzania? Nikuhakikishie tu kama ulikuwa huna habari ziara za Lissu Ulaya na Marekani tumezipenda mno na tunamshukuru Tundu Lissu kwa kutusemea, Roma Mkatoliki alifanyiwa unyama yaliyotokea na kufuatia pale alipotaka kuujulisha umma tuliyaona.

'MO' alipotekwa na wahuni ambao mpaka leo hawajajulikana tuliona kilichofata pale alipotaka kuujulisha umma.

Aibu yenu isiwe ya taifa, wekeni mambo yenu sawa. Nchi hii imekuwa huru kwa miaka 50 sasa haijafanya lolote la maana mikononi mwa CCM.

Your failure, is yours, don't donate it to tanzanians.
Mimi nadhani Dr amechelewa sana, kama angepaza sauti wapatikane wasiojulikana leo yasingetokea yanayotokea. Waliojaribu kumuua lisu na yaliyofuata baada ya shambulizi ndio yaliyomsukuma lisu kuieleza dunia kinachoendelea nchini mwake. Kama kweli serikali yake haijamtibu basi ni lazima kuna waliomtibu, na hao waliomtibu watataka kujua nini kimetokea, Haya yote yangezuilika kama wasiojulikana wangekua na mawazo mbadala, lakini walijipa uwezo alionao m/mungu wakulitaka jambo flani na likawa. Walijihakikishia kwamba lisu asingetoka akiwa hai katika lile shambulio, lakini matokea yakawa mengine ambayo hawakujiandaa nayo. Na kadri wanavyomchafua lisu ndio kama wanamtuma na yeye achafue zaidi. Kwa kuwa mambo yalisha haribika siku ile lisu aliponusurika kifo, kilichotakiwa kufanyika ni utu na hekima. Lakini kwa kuwa vyote vilikosekana matokeo yake ndio haya, Wasiojulikana wavuna walichopanda.
 
very corrrect wasiojulikana wanaojulikana
 
Back
Top Bottom