Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Mwenye hekima ataangalia matendo na kauli za serikali na atajua kuwa hivyo ndivyo adui wa maendeleo ya Taifa hili. Kama Lissu ni muongo shida iko wapi, serikali si iseme ukweli tu na habari itakuwa imefikia mwisho wake?? Kwani huko anakopita Lissu na kuongea kuna watu wapumbavu wasioweza kutofautisha ukweli na uongo? Afterall, si ni serikali iliyotoa tamko kuwa Lissu kaaibika kwa kushindwa kujibu maswali? Sasa makelele yote haya ni ya nini tena?
Tatizo mnajua kuwa Lissu anasema UKWELI na ushahidi na viashiria vya ushahidi vinathibitisha hilo. Mnalo hilo.