USAHIHI; Dr. Bashiru Ally usipotoshe umma

USAHIHI; Dr. Bashiru Ally usipotoshe umma

Kwa h
weng tumesmikisa ndugu Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM akihutubia kwa hasira na hisia kali sana juu ya kile anachodai ni kudhalilisha nchi kimataifa kwa ziara anazo fanya Tundu Lissu.

Itakumbukwa Mh Tundu Lissu alifanyiwa kitendo cha kinyama cha kushambuliwa kwa siraha za moto sept 7,2017 mjin dodom ambapo aliumizwa vibaya baada ya kukoswakoswa kufa.

Baada ya Lissu kuchukua hatua za kuiambia dunia na watanzania kwa ujumla kile kilichotokea na kutoa shukrani kwa jamii ya kitaifa na kimataifa iliyosaidi kwa hali na mali matibabu yake, sasa kumezuka uongo na unafiki wa kujitapa kwa wanasisasa uchwara kuitetea nchi.

madai yao ni kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama. Ukweli ni kwamba inaaibika CCM na washirika wake. TunakuTAKA bahiru Ali na washirika wako muache kuchanganya mambo, aibu ya kipigo cha Lissu na watanzania wengine waliopoteza maisha kwa mazingira hayo hayo ya kisiasa.

Taifa halikupat aibu wakati wa kushindwa kutambua wahusika wa mauaji lije kupata aibu kwa kusema waliompiga lisu hawajapatiokana??

Dr Bashiru Ali kwa nini unataka aibu ya ccm na washirika wake iwe aibu ya watanzania? Nikuhakikishie tu kama ulikuwa huna habari ziara za Lissu Ulaya na Marekani tumezipenda mno na tunamshukuru Tundu Lissu kwa kutusemea, Roma Mkatoliki alifanyiwa unyama yaliyotokea na kufuatia pale alipotaka kuujulisha umma tuliyaona. 'MO' alipotekwa na wahuni ambao mpaka leo hawajajulikana tuliona kilichofata pale alipotaka kuujulisha umma.

Aibu yenu isiwe ya taifa, wekeni mambo yenu sawa. Nchi hii imekuwa huru kwa miaka 50 sasa haijafanya lolote la maana mikononi mwa CCM. your failures, is yours, dont donate it to tanzanians.
Kwa hili la Lisu limemewashinda Bora kukaa kimya mnakunya kwepi tens mavi makubwa wazungu wanasema big shit
 
Hili Taifa mbona tunapenda kupoteza muda kwa mambo ya kijinga jinga, tuna poteza muda kila siku kujadili tundu lissu as if ni mtume ajae, muacheni azunguke kote akiongea atakalo, serikali isipoteze muda kujibu asemayo nyie kaeni kimya na focus kutimiza mliyoahidi,tatua kero za wananchi, kuna mambo mengi ya kufanya na kuwaletea wananchi maendeleo, mwendo kasi phase 2, mchuchuma, viwanda in general na kilimo, achaneni na lissu, mwenyewe atakuja kujua kuwa anapoteza muda na dunia ita mpuuza.
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Hekima inaekeza kuwa aliyemshambulia Lissu asakwe kwa udi na uvumba!

Shetani anapenda TUNDU LISSU akae kimya kama walivyokaa kimya kina Mo Dewji baada ya kutekwa!!
 
Lissu akiwa Bungeni anasumbua Bado amepigwa risasi nyingi still bado anasumbua Naishauri serikali achana na Lissu ameweza kuishi pamoja na Kufungulia kesi nyingi aweze kufungwa bado kawaponyoka Risasi bado kawaponyoka huyu MUNGU kamuweka makusudi Achaneni nae Tundu Lissu hata akiongea anaushawishi wa kumsikiliza MUNGU kampa kipawa tufike kipindi tukubaline na ukweli
 
Hahaha! Bashiru yeye ni opposition kwa Lissu hivyo lazima aseme uwongo kama ilivyo kawaida ya maccm. Daima hujitoa ufahamu wakidhani watz wote ni wajinga! Mjue hata wanaojifanya wajinga siyo wajinga hivyo!
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Kwa hiyo Tundu Lissu anaposema amepigwa risasi na waliomshambulia hawajakamatwa hadi leo anakuwa anasema uongo?! Aibu naona mimi.
 
Lissu akiwa Bungeni anasumbua Bado amepigwa risasi nyingi still bado anasumbua Naishauri serikali achana na Lissu ameweza kuishi pamoja na Kufungulia kesi nyingi aweze kufungwa bado kawaponyoka Risasi bado kawaponyoka huyu MUNGU kamuweka makusudi Achaneni nae Tundu Lissu hata akiongea anaushawishi wa kumsikiliza MUNGU kampa kipawa tufike kipindi tukubaline na ukweli
Ushauri Mzuri Lissu ni Mysterious creature.
 
Hili Taifa mbona tunapenda kupoteza muda kwa mambo ya kijinga jinga, tuna poteza muda kila siku kujadili tundu lissu as if ni mtume ajae, muacheni azunguke kote akiongea atakalo, serikali isipoteze muda kujibu asemayo nyie kaeni kimya na focus kutimiza mliyoahidi,tatua kero za wananchi, kuna mambo mengi ya kufanya na kuwaletea wananchi maendeleo, mwendo kasi phase 2, mchuchuma, viwanda in general na kilimo, achaneni na lissu, mwenyewe atakuja kujua kuwa anapoteza muda na dunia ita mpuuza.
mkuu wataweza sasa?? 50 yrs of independence bado tunagombea mradi wa Stiglers uliofeli miaka nusu karne.
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Pasipo nyie na akili zenu za Kibashite TL angekuwa huko aliko sasa..!?

Hebu acheni kuwaza kwa kutumia matter-ko.Kutaka kumuua hadharani kunaleta nini kwenye uchumi na maendeleo yenu..!?

Pumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baɗala ya kuwafunda wanaCCM kuwa na uwezo wa kujenga hoja anaenɗeles kuwajaza ujinga wa kuenɗelea kujificha kwenƴe mɓawa za vƴombo vya ulinzi na usalama.
Nimemshangaa sana Bashiru yaani anayaka kuliingiza Jeshi letu kwenye mambo yake. kwamba anatafuta msaada kwa polisi???
 
Wengi tumesmikisa ndugu Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM akihutubia kwa hasira na hisia kali sana juu ya kile anachodai ni kudhalilisha nchi kimataifa kwa ziara anazo fanya Tundu Lissu, ameyasema hayo akihutubia ktk sherehe ya miaka 42 ya kuzaliwa CCM.

Itakumbukwa Mh Tundu Lissu alifanyiwa kitendo cha kinyama cha kushambuliwa kwa siraha za moto sept 7,2017 mjini Dodoma ambapo aliumizwa vibaya baada ya kukoswakoswa kufa.

Baada ya Lissu kuchukua hatua za kuiambia dunia na watanzania kwa ujumla kile kilichotokea na kutoa shukrani kwa jamii ya kitaifa na kimataifa iliyosaidia kwa hali na mali matibabu yake, sasa kumezuka uongo na unafiki wa kujitapa kwa wanasisasa uchwara kuitetea serikali.

Madai yao ni kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama. Ukweli ni kwamba inaaibika CCM na washirika wake. Tunakutaka Dr Bahiru Ali na washirika wako muache kuchanganya mambo, aibu ya kipigo cha Lissu na watanzania wengine waliopoteza maisha kwa mazingira hayo hayo ya kisiasa.

Taifa halikupat aibu wakati wa kushindwa kutambua wahusika wa mauaji lije kupata aibu kwa kusema waliompiga lisu hawajapatiokana??

Dr Bashiru Ali kwa nini unataka aibu ya ccm na washirika wake iwe aibu ya watanzania? Nikuhakikishie tu kama ulikuwa huna habari ziara za Lissu Ulaya na Marekani tumezipenda mno na tunamshukuru Tundu Lissu kwa kutusemea, Roma Mkatoliki alifanyiwa unyama yaliyotokea na kufuatia pale alipotaka kuujulisha umma tuliyaona.

'MO' alipotekwa na wahuni ambao mpaka leo hawajajulikana tuliona kilichofata pale alipotaka kuujulisha umma.

Aibu yenu isiwe ya taifa, wekeni mambo yenu sawa. Nchi hii imekuwa huru kwa miaka 50 sasa haijafanya lolote la maana mikononi mwa CCM.

Your failure, is yours, don't donate it to tanzanians.
Ni kweli kama ni Aibu ni ya CCM pekee tena kwa wale watuhumiwa wenyewe wasitake kulazimisha Aibu yao kuwa ni aibu ya wananchi wote ambao hawakuwatuma kwenda kumpiga kwa Risasi huko Dodoma.
 
Jamani ccm Vipi kiwewe ,lissu hachafui nchi au taifa ,kwani nchi ndio ilimpiga risasi ? Kwani taifa ndio lilimpiga risasi ? Kwani taifa ndio liliua watu mkuranga ,kibiti na rufiji ,kwani taifa na nchi ndio walifunga watu kwenye viroba ,taifa na nchi vinachafukaje hapa wakati yeye anazungumzia waliompiga risasi na kufunga watu kwenye viroba na kuua watu mkiru .
 
CCM wanajichafua wenyewe alafu kwa Akili zao finyu wanataka kuwaunganisha wananchi wote wa Tanzania ili kusaka huruma toka kwao, inaelekea wanazani wananchi ni wajinga hawajui kinachoendelea, kumbe kila Mtanzania wa sasa anajua Sumu ya maendeleo nchini imeletwa na udikteta uchwara wa viongozi wa CCM.
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Watu wenye hekima wanaangalia demokrasia hawatumii ubabe kuwanyanyasa kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi wapinzani na kama hao baba zako walijua kuna matokeo ya uchumi kuyumba wasingekwenda Dodoma kumpiga Risasi, wakataze waache ushetani wao kwani wananchi wameamka wanajua sio wao wanapata Aibu bali ni CCM peke yake
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Mnahangaika sana. Mpaka sasa hakuna alie jibu Madai ya Lisu, hakuna utasikia anachafua nchi mara ana dharirisha nchi ila madai yake hakuna anaye jitokeza kujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom