USAHIHI; Dr. Bashiru Ally usipotoshe umma

watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Uongo wa Lissu ni upi??
Mnaua watu kisa maendeleo??
Athari za serikali hii ovu inayotugawa na kupanda chuki ndio kubwa, acha upumbavu.
 
Jamani ccm Vipi kiwewe ,lissu hachafui nchi au taifa ,kwani nchi ndio ilimpiga risasi ? Kwani taifa ndio lilimpiga risasi ? Kwani taifa ndio liliua watu mkuranga ,kibiti na rufiji ,kwani taifa na nchi ndio walifunga watu kwenye viroba ,taifa na nchi vinachafukaje hapa wakati yeye anazungumzia waliompiga risasi na kufunga watu kwenye viroba na kuua watu mkiru .
Andiko Kuntu sana !
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Ni wapi anasema uongo? Dadavua siyo ulete maneno ya jumla jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tumesmikisa ndugu Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM akihutubia kwa hasira na hisia kali sana juu ya kile anachodai ni kudhalilisha nchi kimataifa kwa ziara anazo fanya Tundu Lissu, ameyasema hayo akihutubia ktk sherehe ya miaka 42 ya kuzaliwa CCM.

Itakumbukwa Mh Tundu Lissu alifanyiwa kitendo cha kinyama cha kushambuliwa kwa siraha za moto sept 7,2017 mjini Dodoma ambapo aliumizwa vibaya baada ya kukoswakoswa kufa.

Baada ya Lissu kuchukua hatua za kuiambia dunia na watanzania kwa ujumla kile kilichotokea na kutoa shukrani kwa jamii ya kitaifa na kimataifa iliyosaidia kwa hali na mali matibabu yake, sasa kumezuka uongo na unafiki wa kujitapa kwa wanasisasa uchwara kuitetea serikali.

Madai yao ni kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama. Ukweli ni kwamba inaaibika CCM na washirika wake. Tunakutaka Dr Bahiru Ali na washirika wako muache kuchanganya mambo, aibu ya kipigo cha Lissu na watanzania wengine waliopoteza maisha kwa mazingira hayo hayo ya kisiasa.

Taifa halikupat aibu wakati wa kushindwa kutambua wahusika wa mauaji lije kupata aibu kwa kusema waliompiga lisu hawajapatiokana??

Dr Bashiru Ali kwa nini unataka aibu ya ccm na washirika wake iwe aibu ya watanzania? Nikuhakikishie tu kama ulikuwa huna habari ziara za Lissu Ulaya na Marekani tumezipenda mno na tunamshukuru Tundu Lissu kwa kutusemea, Roma Mkatoliki alifanyiwa unyama yaliyotokea na kufuatia pale alipotaka kuujulisha umma tuliyaona.

'MO' alipotekwa na wahuni ambao mpaka leo hawajajulikana tuliona kilichofata pale alipotaka kuujulisha umma.

Aibu yenu isiwe ya taifa, wekeni mambo yenu sawa. Nchi hii imekuwa huru kwa miaka 50 sasa haijafanya lolote la maana mikononi mwa CCM.

Your failure, is yours, don't donate it to tanzanians.
Wanatumia vote 20 ya usalama wa taifa kuiba hela kwa ajili ya kufanya uhalifu
 
HIVI HAO CCM/SERIKALI WANAWASHWA WASHWA NA NINI? MMEMPIGA RISASI, HAMTAKI KUMSAIDIA LOLOTE HALAFU BADO MNAFUATAFUATA. MWACHENI APUMUE!
 
Wameparanganyika, wanajuta kumpiga risasi bora zile purukusha i za kukimbizana mhakamni mahakimu wao wa ccm wangewasaidia, uamuzi waliofanya wanaujutia.
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
kwa hilo TL hakupigwa risasi?
 
Maana ndiyo ilimshambulia (ungehitimisha hivi)
cc: Roma mkatoliki wamemnyamazisha kimya. Kule kubaya. Tundu Lisu walijua wakimteka na kumwachia atamwaga manyanga ndo maana walitaka kummaliza. Tusubiri mifupa ya Saa Nane kama itaopolewa popote. Kama ilivyokuwa ya Idd Amin walikuta mifupa na mabaki ya watu waliopotea, pale St. Peters na Ununio kuna siku tutaokota mifupa nyingi tu na hapo kijitonyama.
 
Mi naona lisu ni kibaraka tu yeye kila kitu anapinga maendeleo amepinga makinikia alituaminisha nchi inanjaa ili wanunue Muhindi nje na vibaraka wenzie yeye anavyo zunguka huko nje anafikir anamkomoa magufuli au watanzania huyu ni msaliti Mkubwa la Mimi namlaumu saana mlega shabaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Uoñgo ni kuwa hakupigwa risasi, mlimrushia mayai viza bahati mbaya yakatokea matundu ya risasi?
 
Bashiru Ally aliulizwa na mwandishi wa kibongo kuhusu kusiginwa katiba ya ccm kwa kuwapitisha waliojiuza kugombea tena , bila kura za maoni , Alikunja ngumi hadharani , ataweza HARDTALK ?
Katiba ya ccm iko wazi kuhusu kura za maoni kwa mgombea. Ukisoma kifungu husika utaona kwamba kamati kuu inaweza kupindua mapendekezo au kwenye uchaguzi mdogo yenyewe kuteua mgombea. Wenye kutegemea uongo lazima mpotoshe
 
Ni kweli kama ni Aibu ni ya CCM pekee tena kwa wale watuhumiwa wenyewe wasitake kulazimisha Aibu yao kuwa ni aibu ya wananchi wote ambao hawakuwatuma kwenda kumpiga kwa Risasi huko Dodoma.
Aibu na uchafu ni wa serikali ya ccm, siyo nchi ya tanzania.
Tanzania haijapiga mtu risasi wala tanzania haijaunda waasi(wasiojulikana), balii ni CCM

JWTZ na Polisi waaminifu hawahusiki.kwa hili.
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Wakati wanataka kumuua hawakuzingatia athari za miaka 20-30?
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Lissu asijibiwe kwa siasa bali ajibiwe kwa hatuna zilizofikiwa tangu ashambuliwe na stahiki zake atazipataje.
CCM si wahusika wa kutoa majibu sahihi, wapelelezi wa makosa ya jinai ndiyo wanitokeze kujibu.
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Umeongea ukweli kua Wenye akili wanaangalia miaka 100 ijayo.
Ila unatakiwa kujua kua hiyo miaka mia moja bila watu ni bure.
Na kiongozi asiyejali watu wake anasemaje analijali taifa?
Mfano, Tanzania watu wanatekwa, wanapotea, wanauawa na wengine wanapona kuuawa na risasi mchana kweupe na hakuna hatua zinazochukuliwa juu ya wahusika, unasemaje kua kiongozi aliepo anajali watu. Kuna usemi unasema hivi " mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" hivi ingekua ni yeye wanataka kumpiga risasi asingeamulu vyombo viwasake wahusika.
Wenye kuelewa tunajua kinachopiganiwa na viongozi si kwa ajili ya wananchi ila ni nguvu ya madaraka.
Lisu anachofanya sio Kua anapotexa muda na kama angekua anapoteza muda hao wanaojiita wazalendo wasingekua wanahangaika kujitokeza hadharani kujibu. Ila kina faida kwa ajili ya Taifa kwa miaka mia moja ijayo. ( kama nae anachopigania si kwa ajili ya tamaa ya madara yake ila ni tamaa ya madaraka ya wananchi)
Welewa tunajua kua sio wanatetea Taifa lisihaibiki mana wao ndo wameliharibu taifa , wanatetea kiti walichokalia.
Linapokuja swala la madaraka hakuna aliyesalama hata hawe mama, mtoto, mke na mnaojiita wafuasi wao mnaacha kua wafuasi wa watu. Hata kama ulikua unamtukia kwa uadilifu siku ukija kugusa maslahi yake ndo utaijua nguvu ya madaraka.( utatolewa sadaka)
Heri uwe mtumwa wa watu sio kua mtumwa wa Wenye mamlaka hasa pale mamlaka yanapokosekana kwa wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Nipe mfano mmoja wa uongo aliosema TAL.
 
Back
Top Bottom