Usagara sec school (look to this day) inakukumbusha nini ?,soma hapa

tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,316
216
Bila shaka wana Usagarian Mpo na mnapita hapa JF.Kupitia kona hii mwaga data unakumbuka nini juu ya shule hii.Mfano binafsi nakumbuka ushirikiano miongoni mwa wanafunzi na walimu,je wale waliokuwa sayansi mnazikumbuka zile MAABARA nzuri na walimu wake? Karibuni wote
 
Kaka umenikumbusha mbali sana, Nilisoma pale O-level, enzi za akina discipline master Mziray, jamaa kuna watu alikuwa akikutana nao anawaadhibu eti lazima walifanya makosa wakati hawaoni ,Mziray alikuwa crazy. Namkumbuka headmaster Mohamed, nasikia marehemu (RIP), jamaa alikuwa na vibomba acha, nadhani alikuwa anapitia oxford dictionary kabla hajaja parade.

Naikumbuka form I na IIG, na form III na IVSc3.

Nakumbuka pia mambo ya jikoni ya top layer. Siku za mikate na wali, ilikuwa ni scramble jikoni siwezi kusahau, siku hizi sijui kama vijana wanapata hata uji.

I cant forget my Usagara, Look to This Day.
 
dah kitu cha kokoo,, mi nilisoma pale a level PCB,nilimaliza 2007 tulikuwa na headmaster Mkwizu,huyu mzee nae alikua noma alikua anatukalisha chini advance wote wakati wa parade ili kutuaibisha mbele ya o level,tusipate mademu,hostel master alikua Mr Kisinza, nakumbuka kuna siku tulijidai watalii tukakodi mashua ili twende kwenye kile kisiwa cha pale Tanga nusura tufie baharin kwa dhoruba tulikua 16 kwenye mashua moja,tulikua na Majebele,Michael Shirima,Kulwa,b2d na wengine sitasahau ile siku aisee, na mambo ya baikoko nayo yalikua noumaaaa
 
F5 Sc2 - 1985;F6 Sc2 - 1987.
Team.
HM - Mr. Mrema
2nd Mr. Byabato
Miss Ingelandman(Mjerumani)
Mr. Keto
Mr. Sarikoki
Kulikuwa na timu nzuri sana ya football,Basketball, netball ets.
Oh nimekumbuka mbaaaaaaaaaaaaaaaali sana! We acha tu.
 
Nakumbuka cku ile tumevamia kjj usagara mabangi tukatembeza kichapo night, baade vijana wa FFU wakaja wakachukua baadhi yetu wakawaweka ndani masaa kadhaa.
 
Nakumbuka cku ile tumevamia kjj usagara mabangi tukatembeza kichapo night, baade vijana wa FFU wakaja wakachukua baadhi yetu wakawaweka ndani masaa kadhaa.
haaaaa umenikumbusha mshkaji hii ilikua kali kale kakijiji tulikafundisha adabu maana kako kama sodoma na gomora,huko katikati kumejaa madanguro kile kichapo hakitasahaulika,yale mawe pale hostel yalihusika sana
 
Back
Top Bottom