Tatizo lenu chawa ni kutumia nguvu nyingi kuelezea vitu ambavyo kitaalamu,kisayansi,na hata kwa macho ya kawaida huwezi mwambia mtu timamu akakiona unachokisema.
Yaani unachukua mbwa,unamuweka pembe bandia halafu unapiga kelele kuwa umenunua mbuzi aliyenona,kwa akili zako zenye ufinyu wa madini unaamini na kuhisi watu wanasapoti,kuona na kuelewa upuuzi unaojaribu washawishi kuwa wanaona.
Niseme tu huu ni ukosefu wa akili kiwango cha hatari sana. Wakati kama huu ambao kila raia anashuhudia mambo ya hovyo wewe unakuja hapa jukwaani kuandika uzi ambao ni dhahiri una maudhui ya kinafiki yenye lengo la kupotosha na sio kutoa taarifa sahihi au kusema ukweli.
Huu ni ujinga sana aisee, mimi nataka watu kama wewe mleta uzi ikibidi mambo yatakapo kaa sawa muwajibishwe kisheria na kupewa adhabu kali sana ambayo itajumuisha viboko visivyopungua 30 siku unayoingia na siku unayotoka kutumikia adhabu yako ya kifungo cha miezi 6 kwa kosa la kudhalilisha hadhi ya uraia wako, kufedhehesha na kudhihaki uzalendo na uhaini dhidi ya jamii ya watanganyika.
Wewe ni mkosa akili na mpumbavu wa makusudi, MUNGU akusamehe kwa huu upotofu.