Usafirishaji: Rais Samia apendelea wazawa

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,579
Reaction score
2,906
Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula

Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya usafirishaji iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji (TIC) imefika 97 huku miradi ya wageni ikiwa 29. Ongezeko la miradi ya wazawa iliyosajiliwa katika sekta ya usafirishaji mizigo imefikia 91 ambayo ni sawa na Ongezeko la mara kumi na sita.
 
OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

MAMA ANAFANYA KILA SEKTA YEYE TU
 
Mama ana mikono mia, nia aina ya wale watu wenye ilimu ya kua sehemu mbili kwa wakati mmoja.
 
Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula

Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya usafirishaji iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji (TIC) imefika 97 huku miradi ya wageni ikiwa 29. Ongezeko la miradi ya wazawa iliyosajiliwa katika sekta ya usafirishaji mizigo imefikia 91 ambayo ni sawa na Ongezeko la mara kumi na sita.
Upofu wa kutoona mbali.
Katika huo usafirishaji na uchukuzi, ni kwa barabara zipi?
Watu wanalia foleni kila siku.
Serikali imeshindwa kuimarisha usafiri w reli?
Kweli kukosa shule nako ni mzigo kwa Taifa.
 
Usafirishaji lazima wakimbilie TIC kukwepa kodi kwenye kuagiza trucks.
 
MKUU HEBU FAFANUA HII
Ukienda TIC, ukiwa unaagiza anyithing above 100mil, unapata msamaha wa import duty, pia TIC wanasimamia VAT defferment, yani VAT unakuwa unalipa kidogo kidogo ndani ya mwaka unaimaliza.

Hivyo kama uliagiza trucks zenye thamani ya 400mil, Import duty ni 25%, hapo unapata msamaha wa 100mil, pia VAT 18% ni 72mil, ambayo unaweza ilipa ndani ya mwaka mmoja kidogo kidogo.

Unalipa kodi huku trucks zipo kazini.
 
hii ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom